Nimemsikiliza msemaji wa fountain gate vizuri akisema yanga walikiuka makubaliano kwa kuchelewesha fedha walizokubaliana juu ya mauzo ya kagoma ivyo mkataba ukawa umevunjika na wakawauzia Simba...
Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati...
Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili,
Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya.
Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control...
Naomba nilielekeze swali hili kwa viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa, wafiatimu, mashabiki wa Simba Sports Club.
Mmejipangaje na shirikisho msimu huu.
Hivi mnajua kuna kutolewa kwenye...
Kocha wa FC Barcelona, Xavi Hernández amesema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo aliyoanza kuinoa Novemba 2021 akitokea Al Sadd ya Qatari...
Uchambuzi wangu
Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango japo hawakuwa na bahati.
Ila ndugu zangu makolo. Wana kikosi...
Ndugu wanamichezo wote!
Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.
Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima...
Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu!
Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya...
Nikianza na vile nimewapima wale Tripoli hawatokuja kupaki basi kwetu kama tulivyofanya sisi ila tu watapunguza possession watatutega kwa mipira mirefu na through balls katikati ya mabeki wetu...
Muonekano wa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal Keita Balde, baada ya kuacha kujichubua na kurudi kwenye rangi yake ya asili.
Pia, soma: Naby Keita mchezaji wa mpira zamani liverpool...
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa...
Mimi naamini, itakuwa siyo habari ya kushangaza yanga kuishinda Simba kwasababu tayari viongozi na benchi la ufundi linazo sababu za kupoteza mchezo wa Leo.
Lakini ikiwa hivyo kweli, napendekeza...
1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue...
Je, Simba anaweza kumfunga AA Tripoli kwa Mkapa?
Simba SC Tanzania inarejea Lupasa kwa Mkapa ikiwa inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya makundi michuao ya Klabu Bingwa Afrika huku wengi wakiwa...
Waafrica wote akili zetu zinafanana,
Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.
Historia ya shangazi huyo huko...
Kama ulisikia mwingine huyo wa mchongo kwangu mie huyu mwamba ndio man of the match
Ikowezekana apewe tktk na ukaribisho wa kupanda mlima kilimanjaro bure akimaliza apelekwe ngorongoro crater
Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu yetu Ally Kamwe amealikwa kuendesha Semina ya siku 1 ya kuboresha na kuwajengea uwezo Maafisa habari wa vilabu vya Ligi Kuu Zanzibar (PBZ Premier League)...