"Mnyama afanya usajili katikati ya ligi".. ndivyo pia waweza kusema.. Na hii ni baada ya ITC ya yule kiungo bora kabisa toka "kwa wanaojua" nchini Kongo.. Mussa Ndusha kupata baraka zote toka TFF...
Nimefikiria kwa Umakini jambo hili kwa Umakini na kujiuliza mpaka sasa ni Team Gani ambayo ina Ukuta Mgumu sana mpaka sasa kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara?
Ni team gani imefungwa Goa chache sana...
Hasheem Thabeet huenda akaanza kuoneka tena kwenye ligi ya NBA baada ya timu kadhaa kuonyesha nia ya kumrejesha tena uwanjani.Hasheem ambaye alikuwa nje ya ligi ya NBA kwa misimu miwili ,aliaamua...
Kiukweli shujaa wetu hali ni tete , kwa kipindi kirefu tangu kuanza msimu huu amekuwa ni wa kusugua benchi tu !
Hata leo kwenye mechi ya ligi ya Uropa anaendelea kuchoma mahindi , kisa ni nini...
Dahhh.... hawajamaa wanashindwa kuziboresha apps zao ama?? Maana meridian kimeo plus m bet shida nini ama wanataka tukajazane kwenye location zao....[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mmoja raia wa zimbabwe,Mwingine raia wa Burundi
Mmoja anachezea Yanga mwingine anachezea Simba ila wote wakiwa kama washambuliaji
Pia wote wamesajiliwa kwa pesa kubwa na wote wanapata...
Wachezaji wa Wood Fc au Mbao Fc wamelalamika sana kutokana na kufungwa bao dk za majeruh. Wachezaji hao wamelalamika kuwa hawatak tena kucheza na Simba maana wamepata shida sana. Na sasa hawajui...
Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuph Manji amedai kuwa ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa timu hiyo utaanza ndani ya siku 90 baada ya kupewa ridhaa na wanachama.
Manji ameyasema hayo leo wakati...
Press Conference
Mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf Manji atazungumza na waandishi wa vyombo vya habari vya michezo leo ijumaa 21/10/2016, saa saba na nusu mchana, makao makuu ya club ya Yanga jangwani...
Timu yenye Points nyingi
1. Manchester City - 19
2. Arsenal Football - 19
3. Tottenham Hots - 18
Timu zilizoshinda mechi nyingi.
1. Arsenal Football - 6
2. Manchester City - 6
3. Tottenham Hots -...
Asante Pogba kwa kuifanya Man U kuongoza kwenye mauzo ya jezi(jezi zilizouzwa ni milioni moja na laki saba)
Asante kwa magoli yako dhidi ya Fenerbahce
Asante Onyinye Ndidi(WA GENK) kwa goli tamu...
Mechi ya majuzi juzi ya Simba na Yanga yaelekekea vizee vya Yanga vilipigwa mswaki au havikupata hata senti tano. Matokeo yake wamezua balaa wakiongozwa na mzee gwiji Akilimali, wakidai kilabu...
Hivi Serikali ikibet ikimpa bayern, Madrid, Barcelona, juve, psg, dortmund halafu ikiweka billion 6 si madogo watapat mikopo.
Ni timu za uhakika kwenye magroup..kama imeshindikana why tusitumie...
Viwanja tajwa hapo juu ni kati ya viwanja vigumu sana timu ngeni kwenda na kupata matokeo mazuri kipindi Ac Milan,Inter milan na Manchester united zilipokuwa kwenye ubora wao...
Imebidi...
Habari wanaJF,
Tanzania yetu imeendelea kuwa sikio la kufa lisilo sikia dawa katika masuala ya soka, hii leo shirikisho la soka duniani FIFA limetoa viwango vipya vya ubora wa soka kwa mataifa...
Ati mpaka leo OBREY CHIRWA bado yuko Uwanja wa uhuru akishangalia goli alilofunga dhidi ya Mtibwa Sugar...
Kesho YANGA VS AZAM FC Nani atatoka anacheka Je Kibarua cha kocha wa Azam kitazidi kuwa...
Wadau ebu tujadili japo kwa kidogo leo barc anashuka pale camp no kumkalibisha man city. Ukiangalia mechi zao za wikiend iliyopita wote wamefungwa katika makombe tofauti, barc amepigwa goli 1...