Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wana Jf Tumkumbushe haya Pep Guardiola kabla ya mechi yake dhidi ya Barcelona. Tumkumbushe ndugu yetu Pep kuwa kipind yupo Barcelona aliweza kuwatesa sana wenzie kifikra hadi kimwili kupitia mtu...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Aseno [emoji810] mpka sasa ana [emoji460] 5 Barca [emoji810] mpaka sasa [emoji460] 3 B Munich[emoji810] mpk sasa wana [emoji460] 4 Paris [emoji810] anaongz [emoji460] 2 Dortmund [emoji810]...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
http://m.goal.com/x/en-tz/news/16492/b-newsstories/2016/10/16/28517082/viwango-vya-caf-vyaiweka-yanga-namba-moja-tanzania Hongereni Young African sports club.
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mechi ya Yanga na Azam, leo itatoa mwanga Ubingwa kwa Simba. Fuatilia hapa ==== YANGA SC 0 - 0 AZAM FC From Uhuru stadium FULLTIME Dk 93, Mchezo umekuwa na kasi ya kawaida, inaonekana pande...
1 Reactions
226 Replies
18K Views
Mshambuliaji Shiza Kichuya wa Simba SC amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa Septemba msimu wa 2016/2017. Mchezaji aliisadia timu yake kwa mwezi huo kupata pointi zote 12...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) kimetoa orodha ya majina ya wachezaji ambao watawania Tuzo ya Mchezaji Bora 2016 na Tuzo ya Mchezaji Bora 2016 kwa wanaocheza ndani ya bara la Afrika. Moja...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Babua wa Mchezaji Shiza Ramadhani Kichuya amemtaka mjukuu wake kutobweteka na starehe za mjini ikiwemo ulevi na wanawake na awazie kuwekeza kwenye ardhi kwenye pesa anayopata kutokana na nyota...
4 Reactions
19 Replies
7K Views
Hawa wafuatao wamekili mapema kabisa.. Simba S.C ni habari nyingine. 1. Haruna Niyonzima ~ Kiungo bora kabisa kuwahi kishuhudiwa nchini Namnukuu.. "Kiukweli ligi ni ngumu, kila timu imejipanga...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Azam fc ilipoanzishwa nilijua itakuja kuwa kilabu bora sana afrika kama TP MAZEMBE na nyinginezo zilizofanikiwa,kwa kuwa azam fc wana boss(bakhresa) mpenda mpira na anapesa ya kutosha,nini...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
1. Sala na utambulisho wa wageni waalikwa: 1.1. Sala ya wakristo ya kubariki kikao. 1.2. Sala ya waislamu ya kubariki kikao. 1.3. Utambulisho wa wageni waalikwa waliohudhuria, pia wenye udhuru...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau wa GGMU ebu tupredict line up ambayo itamtoa kamasi yule mvaa mawani Jurgen KLopp
4 Reactions
69 Replies
5K Views
Mwenye kujua tupe link please tu stream live ambao hatuwez kwenda kwenye mabanda
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mechi ya Coastal Union vs KMC muamuzi akila kichapo baada ya Coastal kutoridhishwa na maamuzi yake kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani Tanga.
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Kuna juhudi kubwa na za lazima kuinua mchezo huu hapa nyumbani kwa kuanza na watoto wadogo kabisa wajengewe misingi na mbinu madhubuti ili waje kua tegemeo LA taifa baadae. Nimeangalia game hii...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza Pogba aongea kuhusu kiwango chake http://tzwarriors.blogspot.com/2016/10/kwa-mara-ya-kwanza-pogba-aongea-kuhusu.html
0 Reactions
1 Replies
682 Views
hapo ni yule jamaa CHURA akimuiga Tambiii kufunga..... no wonder mmebatizwa jina la The Kilimanjaro Queens Fc....[emoji23] [emoji23]
1 Reactions
7 Replies
903 Views
Liverpool kuvaa jezi maalum leo.. Kwa kampeni dhidi ya upofu http://tzwarriors.blogspot.com/2016/10/liverpool-kuvaa-jezi-maalum-leo-kwa.html
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…