Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimekuwa mshabiki wa Simba kwa muda mrefu. Chanzo ni kwamba; jirani na nyumba niliyokuwa nikiishi mkoani Mwanza walikuwa wakifika wachezaji wa Yangu akina Abeid Mziba na Omary Hussein. Watoto...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hizi kauli za kua Simba ya msimu huu (2016/2017) haina kitu zinanikera sana. Eti ni kama tu ya msimu uliopita (2015/2016).. Ni nguvu ya soda.. Nafasi yake ni ile ile ya tatu.. Zina ukweli...
7 Reactions
27 Replies
7K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndio walivyo Tumeshawazoea, kama mnabisha subirini muone
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Taarifa za Yanga kuingia mkataba wa kuikodisha timu kwa miaka kumi kwa Kampuni ya Yanga Yetu zimezidi kuchukua sura mpya ambapo licha ya baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kupinga utaratibu...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Ni tukio gani au mechi ipi ilishawahi kukuliza au kukutoa machozi. Brazil vs holland worldcup 98,holland anakufa kwa penati baada ya mechi ngumu sana,pira mwingi,ufundi mwingi,striker wakali,beki...
12 Reactions
120 Replies
10K Views
Kulikua na Uingereza ya kizazi cha akina Paul Scholes,Frank Lampard,Steven Gerald,Sol Campel,David Seaman...nk.Wote hao hawakuwai kufanikiwa kupeleka kikombe chochote kile wakiwa na timu ya taifa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jana baada ya game ya Yanga kwisha na Yanga kupoteza mchezo kwa Ujumla ya goli 1,Kuna kitendo kilichotokea ambacho sio kizuri. Baada ya mwamuzi wa mchezo ule kupuliza kipenga cha mwsho...
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Habari wakuu, Baada ya mwisho wa wiki hii kukosa burudani ya ligi kuu bara, uhondo umehamia Jumatano ya leo kwa viwanja kadhaa kuwaka moto. Mjini Mbeya, Mbeya city atamvaa kinara wa ligi, Simba...
1 Reactions
117 Replies
18K Views
Uongozi wa Yanga Yetu unasikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu kuvujisha na kusambaza picha za stadium concept “Uwanja” bila idhini yao. Yanga yetu bado ipo kwenye mchakato wakuidhinisha moja...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna mfanyabiashara yoyote ambaye anafanya biashara ya hasara. Manji ni mfanyabiashara mkubwa. Hawezi kuamua kusamehe deni la 11bn kwa kisingizio cha kulilipa ndani ya miaka 10, kama haoni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kinadhalia uwanja mkuu wa mpira ni mali ya Serikali, hivyo ni mali ya watanzania wote, lakini kiuhalisia aliyebuni wazo la kujenga uwanja ule kichwani mwake alikuwa ana picha ya kujenga uwanja...
2 Reactions
0 Replies
788 Views
Nia na lengo kujua watu wangapi ni wafuatiliaji wa mpira ligi za ulaya ,Je unaweza kunitajia hawa wachezaji ni nani na nani?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nishapigwa sana nilipotumia akili yangu kubet,ngoja nijaribu kuibia humu mikeka
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Wakuu kinachoenda kutokea latvia atapigwa na hungary na atanichomesha 250k zangu huyu
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau hebu tujadiliane ni kipi kimetukumba hadi tunacheza mpira kama wa ligi daraja la 3
2 Reactions
95 Replies
6K Views
Jamani naomba kuuliza mi sifaham hili suala kwani serikali inaweza kubatilisha maamuzi ya wanachama wa klabu ya soka? mfani wanachama wa simba wameamua kubadili mfumo wa uendeshaj wa timu yao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kikosi cha Yanga kimeamua kujisalimisha kwa serikali kwa kuandika barua ya kuomba radhi ili waweze kuruhusiwa kuweza kutumia Uwanja wa Taifa baada ya kuzuiliwa kwa muda usiojulikana. Hatua hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Italy yaanzisha kadi ya kijani katika soka Italy yaanzisha kadi ya kijani katika soka - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Beki wa zamani wa Yanga, Lawrance Mwalusako amewashukia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na kuwataka wawe makini katika suala la mabadiliko wanayotaka kufanya Yanga. Mwalusako ambaye pia aliwahi...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…