Sitaki kuchelewa hata kidogo nimeshaanza safari ya kuelekea Taifa.halafu Jamaa wa JF walikuwa wameficha naona walikuwa na ukarabati, hongera sana Maxence Melo.
UPDATES:
Mapumziko: Yanga 3 - 0...
Baada Ya Wakimataifa Kujichimbia Kisiwani PEMBA- ZANZIBAR katika Eneo La Chake Chake Kujitayarisha Na Pambano lao Dhidi Ya Wekundu Wa Mzimbazi, Hatimae Baadhi Ya Viongozi Wao Waonekana Katika...
Mcheza kikapu Hashim Thabit anatarajiwa kurudi NBA baada ya kutoshiriki lig hiyo toka 2014 kutokana na kuporomoka kiwango.Tayari timu kadhaa zinaonyesha kuhitaji huduma yake.
source:Hasheem...
Nadiriki kusema kuwa vitendo/imani za kishirikina ni kati ya vitu vinavyochangia mpira wetu kurudi nyuma baadhi ya wachezaji wetu wamekua wakiamini sana kuhusu imani hizo potofu katika mpira
Pia...
Katika jamii zetu za Kiafrika tunaamini kuwa kuna baadhi ya Nomino/majina sio mazuri kuwapa watoto wetu kwani hayawabariki kabisa na na ikitokea mtoto mwenye jina la ajabu amepata matatizo wengne...
Wakuu salam,
Naam kama umeshapata Ticket yako au tuseme Kadi inayokuwezesha kupata tiketi, tunaomba uzoefu wako hapa.
Tuelekeze tunakoweza kupata kadi hiyo na hatimaye Tiketi husika. Au tunaomba...
Wadau,
Soka letu linazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha.Na bwana Malinzi ndio anazidi kuchochea kuni soka lizikwe kabisa.
Huyu mtu asipewe nafasi nyingine kuongoza TFF.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta leo ataiongoza timu yake ya KRC Genk kusaka ushindi dhidi ya US Sassuolo ya Italia katika Kundi F la mashindano ya Ligi ya Europa.
Genk...
Nipo uwanja wa wa kimataifa YANGA Kaunda Stadium hapa Jangwani.Jamani hali ya uwanja ni mbaya maji yamejaa na kuna kundi kubwa la mbuzi wanaranda randa uwanjani shime, shime. Njooni tuyatoe maji...
Ni siku mbili sasa kampuni ya premier betting imejisababishia hasara kubwa kwa vituo vyote vya morogoro kwa kukosa karatasi za kutolea tiketi.
Nini maoni yako.
Sam allardyce,kocha wa timu ya taifa ya UIngereza ameachia ngazi kwa makubaliano na Shirikisho na mpira wa miguu nchini humo baada ya kufanya kazi kama meneja wa timu hiyo kwa muda wa siku 67 na...
Here you can talk about your favourite football stadiums. These are the ones I really like:
The national stadium of Tanzania:
Benjamin Mkapa National Stadium
The steep home of the Argentine side...
Nimesikia hili kuwa kuna timu zinajiandaa kuandika barua ya Mgomo TFF dhidi ya mechi za Simba.
Inasemekana Simba dakika zinavyozidi kwenda ndo hupata nguvu. Inasemekana hasa kipindi cha pili...
Cristiano Ronaldo ameonesha kitendo cha utovu wa nidhamu mbele ya kocha wake Zinedine Zidane pale alipofanya uamuzi wa kumpumzisha mshindi huyo wa Champions League na European Championship wakati...
London, England. Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich yuko tayari kuipa klabu hiyo fedha za usajili ili kusuka upya kikosi ambacho msimu huu kinachechemea.
Tajiri huyo ameelezea imani yake kwa...
Jana ilikuwa ni chereko chereko mitaa ya Jangwan wakifurahia Team yao ya Wabunge kurudisha kile kipigo walichopata toka Simba cha 5-0. Mashabiki wa Yanga walishukuru sana kwa ushindi huo huku...
Back
YahooSPORTS
Share
Wayne Rooney no longer good enough for Manchester United
Shahan Ahmed
FC Yahoo•September 25, 2016
Wayne Rooney watches from the bench in Man United’s 4-1 win over...
Beki wa Paris St Germain (PSG), Serge Aurier kutoka Ivory Coast, ahukumiwa kuenda jela miezi miwili kwa kosa la kumshambulia Askari polisi.
=============
Ivory Coast footballer Serge Aurier...