Nitoe pongezi kubwa sana kwa spika wa bunge mh Ndugai kuandaa mechi ya wabunge wapenzi wa Yanga na Simba kwani tumeshuhudia wabunge wa chama tawala na wa upinzani wakipeana mikono kwa raha na...
Wabunge wa Yanga wamewafunga wabunge wa Simba kwa idadi ya magoli 5 na kuwasaidia Young African club kulipa goli 5 walizofungwa na Simba tarehe 6 Mei 2012.
Nlichokiona kwa mpira walionyesha...
Hii ni baada ya kudhihirisha wazi kwamba ni timu ya msimu mmoja , baada ya leo kutandikwa na timu KIBONDE ya Man U kwa kapu la magori 4 - 1
Mwenendo wa mabingwa hawa watetezi ambao wamegeuka...
=========
TAMATI: Yanga anapoteza pointi tatu baada ya kukubali kipigo cha goli moja bila majibu
DAKIKA 5 ZA NYONGEZA
DK 90, Twite anarusha mpira, lakini beki ya Stand wanaokoa na kuwa kona...
Nimesikitika kuona TV yetu ya TAIFA ITV hawajarusha habari kuhusina na matokeo ya Mechi ya Yanga.
ITV ndiyo kituo kikubwa cha kurusha matangazo nchini ni ukweli ambao nashindwa kuupinga...
BARCA THE ONLY CLUB FOR MESSI - FABREGAS
September 23 2016 / 8:22 am
Barca the only club for Messi - Fabregas
Chelsea midfielder Cesc Fabregas insists Barcelona are the only club who can take...
Inasikitisha sana lakini hakuna namna yoyote ya kumuacha aishushe daraja timu hii .
Haijulikani amekumbwa na nini lakini kinachofahamika ni kwamba Westham wako kwenye timu 3 za kushuka daraja ...
Kila shabiki wa Chelsea Jana na leo wanakwambia Chelsea imefungwa ila nashukuru kwa Tanzania Simba imenifuta Machozi.
Arsenal 3 Chelsea 0.
Simba 4 majimaji 0
ZIDANE EXPECTS BARCA TO BE WEAKER WITHOUT MESSI
Real Madrid coach Zinedine Zidane believes Barcelona could suffer in the absence of Super Star Lionel Messi, while he is relaxed over the form...
Hiv makocha huwa wanaambiana POLE Kama amekufunga pale wanapokutana baada ya mpira kwisha hasa wa miguu au kuna kingine??...
Tujuzane Naimani kuna watu washawai kuwa makocha humu..
Mfano jana...
wadau nimejiunga kidogoa mida hii TBC nakutana na hii mechi ya hawa watu wa mjengoni...
mpra unavutia kwa kweli, ni dk ya 18, wabunge wa yanga wanaongoz 3 kwa sifuri...
Dhumuni la mechi hii ni...
Heshima kwenu wakuu,
Yaani kila Mwanasimba ninayemuuliza mara ya Mwisho mumeifunga yanga lini, wanaishia kurusha kejeli na kumsema Jerry Muro.
Lakini ukweli ni kwamba Simba si chochote si lolote...
Kwanza naipongeza timu ya Tanzania Queens kwa kutwaa taji la challenge mjini Jinja Uganda. Ila ombi langu ni kwa vilabu vya VPL kuanzisha timu za soka la wanawake. Timu kama Yanga. Simba na Azam...
Na: Gasto Di Genaro
Ukimwondoa Sir Alex Ferguson, José Mourinho ndio kocha niliyetokea kumhusudu kupita maelezo katika maisha yangu ya ushabiki wa soka.
Mourinho amepata kibarua chake kama...
Kiukweli keshoo ntakutana naoo baadhi NA ntawaunganisha NA AMA katibu AMA naibu wa HII wizara ujinga atutaki tena...
Washindi wa kombe la cecafa wanawake Kilimanjaro queens pamoja NA ushindi...
Wenga amesema haya
"TUNAUSHUKURU SANA UONGOZI WA WANAUME TMK HALISI CHINI YA JUMA NATURE KWA KUTURUHUSU KUTUMIA ICON YAO YA 3-0 (Tatu bila dhidi ya Chelsea) tunatambua itabaki kuwa track Kali hiyo...