Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mshambuliaji wa kiitaliano Mario Baloteli aka Super Mario jana alifunga mara mbili na kuisaidia timu yake ya Nice kukwaa kileleni mwa Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kwa kufikisha alama 14 katika...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kuna sehemuu unaitaji kusafisha nyota N kutumbuaa MTU wore watakaoshiriki kupiga mgao wa zawadi za cecafa za wanawake Nawazaa awa watoto Leo wamelalamika wanadai pesa za maandalizi toka...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Hii ni Livestream link kutoka JamiiForums Facebook page!
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Simba 3 vs Ndanda 1 Ndanda 0 vs yanga 0 Yanga 3 vs Maji Maji 0 Simba 4 vs Maji Maji 0 Tarehe 1 Yanga? Vs simba?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utawala wa Jamal Malinzi umekuwa ukipokea shutuma nyingi kutoka pande mbalimbali za wadau wa soka. Mimi pia ni mmoja wa wakosoaji wake. Watu wengi tumekuwa tukihoji uwezo wake kiuongozi, uadilifu...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nilikuwa nashangaa mbona Everton wako vizuri season hii na mbona Leicester city wako hovyo? Kumbe yule mtaalam wao wa usajili kahamia Everton na tayari kasaini kifaa kikali kuliko Ngolo Kante...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
ZIFAHAMU MECHI ATAKAZO ZIKOSA LIONEL MESSI BAADA YA KUPATA MAJERUHI http://kasabaja.blogspot.com/2016/09/zifahamu-mechi-atakazo-zikosa-lionel.html
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Nambieni wadau kubashiri mechi NI faida au hasara?
0 Reactions
25 Replies
7K Views
wadau kati ya hawa wachezaji ni nani bora zaidi ya mwenzake kwa upande wangu mimi namuona XAVIER JARVIE HERNANDEZ ni bora kuliko ANDREA PIRLO wewe unamuona yupi bora kwako??
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliko Dangote mwenye umri wa miaka 58 raia wa Nigeria na ndo tajiri namba moja Africa mwenye utajiri unaokadiriwa kuwa wa 21,800,000,000,000 (trillion 21.8 za kitanzania). tajiri huyu ana mpango...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kupanua wigo wake wa kibiashara lakini pia katika kuwafikishia wanachama, wapenzi na mashabiki wake, Klabu ya Simba imeanzisha mpango maalumu wa kutafuta mawakala ambao watatambuliwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam wana JF. Jana kupitia kipindi cha michezo Radio Times "Wizara ya Michezo" nimesikia kwa masikio uchi kabisa bila kisaidizi namna ambavyo Malinzi anaendesha (au pengine kuendeshwa..Who...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Tumpe mda, msiwe na hasira kiasi hiki,. Kama mauzo ya jezi mbona ameshawatengenezea pesa ya kutosha saana... Kwann leo mmebadilisha akili zenu ghafla... TUMPE MDA..
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Miamba ya soka nchini Hispania,Ulaya na Dunia kwa upande wa klabu, FC Barcelona na Real Madrid jana walishindwa kutamba mbele ya wapinzani wao baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1. Barcelona...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Tukiwa tunahesabu siku sita tu zijazo kuelekea kwenye game ya kukata na shoka kati ya Timu mbili kubwa za Tanzania,Simba na Yanga.Mpira utakaochezwa tarehe 08 machi 2015 kwenye dimba la uwanja wa...
0 Reactions
9 Replies
42K Views
Wadau najua wengi mna kiu ya kujua kinachoendelea kati ya timu ya Tanzania Bara Wanawake na Kenya wanawake. Hapa nipo mpakani maeneo ya Minziro mpakani mwa Tanzania na Uganda. Nimejaribu muda...
8 Reactions
80 Replies
13K Views
Nimempenda saana leo wakala wa Yahya Toure kwa kauli zake dhidi ya kocha wa Man City Pep Guardiola.Haya ndo majibu yale. ...."Manchester City boss Pep Guardiola should be saying sorry himself...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi Dunia ya soka imekuwa ikiwatukuza wachezaji wanaocheza nafasi za mbele au kwa kifupi Washambuliaji huku ikiwasahau kama si kuwatupa kabisa wachezaji wanaocheza nafasi ya Ulinzi (...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Je unaswali lolote kuhusu mchezo wa masumbwi/boxing uliza hapa nami nitarijibu
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…