Shihan Koichiro Okuma (kulia) akijiandaa tayari kuanza semina. Kushoto ni mwalimu wa siku nyingi wa karate Tanzania, Willy Ringo Rwezahura Sensei.
Kama mwenyeji, nami nilikwenda kumpokea Shihan...
Moja kati ya habari zinazo-trend kwa siku ya leo August 29 2016 katika soka ni hii ya klabu Al Ittihad Alexandria ya Misri kutangaza kuvunja mkataba na nyota wa kimataifa wa Cameroon Samuel Nlend...
Katika kuelekea ile sikukuu yetu ya tarehe 01.10.2016, leo nawaletea kwenu Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden Mputa'.. Living Legend wa Simba SC.
Huyu kiumbe ni nani katika nchi hii??
1...
Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba SC leo ameendelea kutakata kama kawaida yake katika "mbuga" yake ya Shamba la Bibi.
Na hii ni baada ya kuiadhibu ipasavyo timu bora katika VPL...
Habari wanamichezo wa JF.
Timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar ya wanawake, imefungwa kwa tabu sana magoli 10 kwa 1 dhidi ya Burundi, katika michuano ya CECAFA Challenge, Wanawake, nchini Uganda.
Uwanja wa uhuru, milango yake ya kuingilia na kutokea watu wa kawaida imewekwa upande wa barabara itokayo Buguruni, kwenda Kurasini. Pembeni mwa barabara hii kuna mfereji mkubwa sana uliejengwa na...
Wakuu salama
Naangalia hapa maisha plus, ninacho kiona hapa upeo wa vijana wa kiTanzania ni mgodo kuliko wa vijana kutoka nchi zingine.
Wanashindwa kabisa kujieleza, wanaulizwa nani angemchagua...
Taarifa niliyosoma kutoka Mwanaspoti inasema kocha wa zamani wa simba Mzee James Siang'a amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 10/9/2016.
Huyu ndio kocha alifundisha simba kwa mafanikio makubwa...
Hakika kila mtu anaisubiri siku yake kama saa nane na nusu siku ya Jumamosi ya tarehe 10 Septemba.
Goal - De Bruyne (City)...15mns
Goal - Ihenacho (City)... 36
Goal - Ibrahimovic (United)...
1. Aliyekua kocha na mchezaji wa mda mrefu wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime alijiunga na Kagera Sugar kwa ajili ya Msimu huu wa 2016/2017 kama Kocha Mkuu.. Nafasi yake ilichukuliwa na Salum Mayanga...
kwa kauli ulioitoa tff kwa vilabu vya simba na yanga kwa mfumo wanaohitaji kuutumia ukikebehi na kuudharau na kuiagiza tff iufatilie utaratibu eti wa mikutano na hoja zilizotolewa kwenye mikutano...
Kwa muda mrefu sana timu ya majimaji imekuwa haifanyi vyema hali ambayo wangoni na wakazi wa songea hakuna hatua wanayochukua.angalizo mwaka huu hakuna namna lazima timu ishuke.mkoa umekosa...
Baada ya Mnyama mkali mwituni, asiye na masihara kabisa akiwa mawindoni, Simba SC kutakata ipasavyo, katika kila windo analoingia.. Sasa ni zamu ya vijana toka Manungu [Mtibwa Sugar] kukutana na...
Hakika Kocha wa MAN CITY kadhibitisha ubabe wake Kwa kuitandika MAN U mbele ya mashabiki wake Na kupelekea Kufa kiume kama YANGA ya Tanzania.Pongezi kwako Pep Goudiola umemziba mdomo. Jose mourihno.
Na hii ni kutoka Magazetini.
Waandishi wa habari za michezo nchini Tanzania, hatimae watoa ya moyoni kuhusu ubora wa Mnyama Msimu huu.
Hebu pitia [emoji116] kuona waliyonena...