Mnyama aunguruma leo Taifa, baada ya kuwapigisha kwata la kutosha 'wajeda' wa Ruvu Shooting. Leo tumetakata vya kutosha, nadhani Tanzania imeona, Dunia imeona. Simba SC imeshinda goli 2-1...
Wapenzi wangu wanamichezo.
Naombeni mnisaidie, maana kila siku nimekuwa nikijiuliza maswali haya matatu na majibu sipati. Maswali ni haya yafuatayo:-
* Ni kwa nini unapopigwa mpira wa adhabu...
Namnukuu.. "Mimi nafikiri baada ya mechi tatu au mbili, kuanzia sasa Simba itakua ni timu yenye safu kali sana ya ushambuliaji. Yapo matatizo madogo madogo ambayo nimekua nikiyafanyia kazi."...
The English Premier League has released the official list of 25-player squads for the 2016/17 season. The BBC's Stanley Kwenda looks at seven things about the African players in the Premier...
Mimi nimefurahi sana kusikia Yanga wamemtolea nje huyu Manji, hasa ukitilia maanani alitaka kuifanya iwe klabu yake.
Yusuph Manji si mkombozi Yanga - Madega
Mwandishi Wetu
HabariLeo...
Timu ya soka ya taifa ya Uganda wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON mwaka 2O17 baada ya kuifunga Comoros 1-O, mara ya mwisho Uganda kushiriki fainali hizo ilikuwa ni mwaka 1978
Sisi...
Timu ya taifa ya Uganda, The Cranes imefuzu kucheza Kombe la Mataifa Afrika baada ya kuichapa Comoro kwa bao 1-0.
Ushindi huo umeifanya Uganda kufikisha pointi 13 sawa na vinara wa kundi D...
The English Premier League has released the official list of 25-player squads for the 2016/17 season. The BBC's Stanley Kwenda looks at seven things about the African players in the Premier...
TFF ni jipu wakati umefika litumbuliwe.Nimekuwa nafuatilia sakata la mchezaji Kessy.Mchezaji huyu ameruhusiwa kuchezea Yanga hali TFF ikijua ana mgogoro Na Klabu yake ya Simba.TFF imekuwa chanzo...
1.Ihenacho-Man City na ndio mfungaji wa goli
2.Mikeli Obi -Chelsea amepiga mpira mwingi wenye akili lakini haukuzaa matunda
3.Ahmed Mussa-Leicester City kaonekana lakini sio kivile ila msaada...
Leo Jumatatu, Agosti,1 mfanyabiashara bilionea Mohamed Dewji alikuwa na mkutano na waandishi wa habari, akasema uwekezaji wa 20 bilioni anaotaka kuufanya angeweza kununua timu Ulaya ya daraja la...
Huwa sifuatilii mpira, lkn leo baada ya kutoka mazoezi, nikahamasika kwenda kuwashuhudia wachezaji wetu.
Wamejitahidi, LAKINI naomba nitambue umhimu wa kipekee wa goal keeper wa leo Aishi Manura...
Wakuu nina mtoto wa kiume ambaye ndiye first born wangu mwenye miaka9,huyo dogo nilikuwa nikiishi nae hapa dar,lakini nilikua nikipata kesi nyingi za ugomvi every day,mwaka jana nikakata shauri...
Nikiangalia soka la zamani hapa tz ni kweli kulikuwa na mabeki wengi na wazuli kama kina..
Jella mtangwa, mohammed bakari tall, allan shomali, lila shomari,kasimu matitu, n.k. Ila sitomsahau jella...
Mchezaji bora wa kandanda ulimwenguni,Lionel Messi,alfajiri ya leo alirejea kwenye kikosi cha timu yake ya taifa ya Argentina na kukipa ushindi dhidi ya Uruguay.
Bao lake la uwezo binafsi la...