Tumepeleka wanamichezo 7 tu mashindano ya Olympic zanu hii, yawezekana ukosefu wa fedha, lakini pia, ni kushindwa kuandaa washiriki katika michezo kadhaa. Ninawaza michezo ambayo makabila mengi...
Habari wana jamvi.
Baada ya kufuatilia kwa undani na kugundua hili, nimeona nilete kwenu tuliongee kwa pamoja.
Bila shaka wengi wetu tumeona jinsi mdhamini mkuu wa ligi ( Vodacom ) alivyo...
TAARIFA KWA UMMA
Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa wanachama, wapenzi wake na washabiki wa mchezo wa mpira wa miguu kote nchini kuwa tamasha la kila mwaka la klabu yetu linalojulikana kwa...
WAKATI wanachama wa Yanga wakiwa hawafahamu wanakwenda kujadili kitu gani katika mkutano mkuu wa klabu hiyo keshokutwa Jumamosi, rekodi za bilionea kijana Afrika, Mohammed Dewji zimeibua hofu...
Huu moto aliouwasha Kocha Bora kabisa toka Kameruni, Joseph Omog, akisaidiwa Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini Uganda, Jackson Mayanja sijui ni nani mwenye uwezo wa kuuzima. Simba S.C...
Kocha mkuu wa Manchester United, Jose(_special one) amestuhumiwa na baadhi ya watu duniani wakidai kwamba amemkosea pakubwa mshindi wa kombe la dunia Schwastiger kwa kumshusha hadi kikosi cha pili...
17.03.2009.. Mo. Dewji aliinunua timu iliyopanda ligi kuu, ilikua ikiitwa Mbagala Market. Mda mfupi baada ya ununuzi huo, aliibadili jina na kuiita African Lyon.. Timu hii alidumu nayo kwa mda wa...
Prime minister, Majaliwa Kassim has issued an urgent order for the restoration of an electronic ticketing system at soccer stadiums across the country. This is good news, as the directive was long...
Nigerian football is in a state of shock after an astonishing 26 players failed age tests carried out ahead of an Under-17 African Cup of Nations qualifier, according to a report...
EPL* *2016/17* *Full* *list* *of* *fixtures*:
AUG 13
Arsenal v Liverpool
Bournemouth v Man Utd,
Burnley v Swansea,
Chelsea v West Ham,
Crystal Palace v West Brom,
Everton v Tottenham...
Baada ya TP Mazembe kuchukua ubingwa wa Klabu Bingwa Africa.. wadau wa michezo nchini wameibuka na kudai sasa ni muda muafaka wa Timu nchini kupigwa bei ili nazo ziweze kama si kufikia mafanikio...
-Huyu strika tishio kwa mabeki wale visiki alizaliwa miaka 25 iliyopita, nchini Burundi.. a.k.a yake ni Tormentor.
-Mwaka 2011 kocha wa Police FC ya Rwanda, "Mtalamu" Goran Kopunovic aligundua...
Wahenga walishawahi kunena;
"If you don't know history, then you don't know anything. You are a leaf that doesn't know it is part of a tree."
Wanamsimbazi wenzangu, hebu tukumbushane baaadhi ya...