"Mfanyabiashara" Mo kafunguka sana juu ya lengo lake la kuitaka Simba S.C mbele ya SALEHJEMBE.. Mwanamsimbazi yoyote hebu tupitie huu "muono" wa "Mfanyabiashara" Mo katika timu yetu.
SALEHJEMBE...
Tatizo la kuona kua ni timu mbili tu ndio zinajua kucheza na kustahili kupewa support litatufikisha pabaya,Ningependa kukushauri Bwn Mo achana na malumbano yanayoendelea na badala yake chagua...
1. Safari yake ilianzia katika kipindi cha TV kilichokua kinafatiliwa na wengi, Mkasi.. Huku akitumia zaidi ya dk. 15 [mda wa kipindi ni dk. 30] kuelezea mapenzi yake "ya dhati" kwa Simba, nini...
Habari zenu
ningependa kufahammu kama kwenye histiria ya tz football kulishawahi kutokea timu ambayo ilipanda daraja kama vile ilivyopanda Mbao fc ya mwanza.
pili je kuna kitabu maalum...
Nachukua nafasi hii kumshukuru Dewji kwa kukamilisha ahadi yake na pili kuchangia pesa za usajili - AVEVA
Zimebakia siku chache za usajili na tunatakiwa tulipe Milioni 420 za usajili - AVEVA...
Tajiri huyu kwa kuepuka na kuogopa ushindan anashirikiana na baadhi ya wanachama na viongoz wa Simba wasio waaminifu kwa kuwalipa pesa kiasi cha kuanzia 100,000- 200,000. Wampinge Mo Dewj ili...
Mimi ni mwanachama hai wa Simba. sina haja ya kuweka namba yangu . Kuna mambo ambayo nayakubali katika mpira bila kupepesa macho siku zote nitasisitiza. Kwa hatua tuliyofika sasa Mpira wetu...
Habari wanaJF, mwanasiasa na mpenda michezo nchini Zitto Kabwe akiwa kama mpenzi wa Klabu ya soka ya Simba ametoa mawazo yake juu ya biashara anayotaka kuifanya Mo Dewji ya Uwekezaji...
Mnamo 08.08.2016 katika uwanja wa Taifa, kutakua na pambano la kukata na shoka baina ya miamba miwili ya Soka barani Africa, ambayo ni Simba S.C dhidi ya Interclube toka nchini Angola.
Pambano...
Nimekuwa najiuliza taratibu zilizomfanya Charles Boniface Mkwasa kuchaguliwa kuifundisha timu ya soka ya taifa letu kama zilikidhi nia yetu ya kusonga mbele, naambulia kusononeka tu. Kocha huyu...
Anaipenda Tanzania kwa kuwa amezaliwa Tanzania na wazazi watanzania wanaoishi Tanzania mpaka sasa lakini kwa kuwa Ureno wamemuamini sana na kumpa nafasi ya kuichezea timu yao ya taifa ya vijana...
Leo Messi, "La Pulga" Baba Thiago, Mchawi mweupe wa soka ameonyesha mashabiki muonekano mpya kuelekea msimu mpya ambapo ameweka blonde nywele zake hali hii imezua mjadala kwa mashabiki wke wengi...
Hatimae uongozi wa klabu ya Simba umemuandikia barua mfanyabiashara (Bilionea) Mohamed Dewji “Mo”, ya kumktaka ahudhuria kwenye kikao maluum cha kamati ya utendaji ya klabu hiyo, ili kueleza...
Simba watakua wanajirudisha nyuma miaka kadhaa kama watakubali kuruhusu Mohamed Dewji Achukue contol ya timu kwa asilimia kubwa.
Simba wamekua driven na kile kinachoonekana kama success kwa Yanga...
Habari zenu!
Kumekuwa na minong'ono mingi kutoka kwa wana msimbazi kutoridhishwa na uongozi wa Aveva.
Ingawa katiba imewaweka viongozi wa sasa na watatoka kikatiba, kumekuwa na wengi wakisema Mo...
Mfadhili wa zamani wa Simba, Azim Dewji amesema alichokieleza kuhusiana na njama za TFF kutaka kumrudisha madarakani, Michael Wambura kimekamilika.
Lakini akasisitiza, kukamilika kwake kumekuwa...
Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC
Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti...