Ile ligi pendwa ulimwenguni ndo iyo imekaribia ligi ya Uingereza... naona timu nyingi zikifanya sajili zao na kucheza mechi za kirafiki kujiweka fiti...
Tutarajie ligi yenye mvuto na ngumu msimu...
The Olympic torch relay was disrupted by striking teachers after it entered Rio de Janeiro. Video footage of the demonstration suggests the flame was extinguished while the runner carrying the...
Nakupa heshima maridhawa Rais wangu wa awamu ya Tano, hakika unafanyakazi stahiki.
Naomba utazame sekta hii ya michezo yote nchini chini ya vyombo mbalimbali vya usimamizi wa serikali.
Eneo...
Nafikiri ni muda muafaka sasa timu yetu pendwa ya Young Africans ibadili jina ili isizidi kuonewa barani Afrika, jina Young Africans halina tofauti sana na toto afrika,so Yanga wanaonekana kama...
Uero uefa 2016 inaendelea na timu mbili zimeshaingia hatua ya robo fainali-Wales na Poland. Portugal tangia mashindano haya yameanza hawajashinda mechi hata moja. Nimeangalia mechi zao naona kama...
Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva akizungumza na Vyombo vya Habari leo wakati wa Uzinduzi wa Simba Week Akiwa Sambamba Katibu Mkuu wa Simba Patrik Kahemela (Kulia) na Afisa Masoko na...
USHAURI WANGU KATIKA MECHI ZA KIMATAIFA WAGENI WAKIWA WANAKUJA BONGO
"Waarabu na wengine wakija tuwashushie Kigoma airport. Tia kwenye basi hadi Kahama, Nzega, Singida, kula kushoto Babati tokea...
Wakuu,
Mwaka jana nilifanya maamuzi magumu ya kuweka kando kinga'amuzi changu cha DSTV na kuchukua AZAM TV nikiamini itakata kiu yangu ya Soka maana mimi kwenye TV huwa naangalia vitu viwili tu...
Kocha mpya wa Klabu ya Manchester city, Guardiola amepiga marufuku ulaji wa chakula kinachoitwa "Pizza" kwa wachezaji wote wa Klabu hiyo kwa chakula hicho kina madhara mengi kwa wanamichezo.
Jana tumeshuhudia fainali ya Ulaya kati ya Ureno na Ufaransa ambapo Cristian Ronaldo alicheza kwa dakika takribani 24 na kuumia,hivyo akashindwa kuendelea na mchezo kwa bahati Ureno wakaibuka na...
Wapenzi wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi kwenda kuilaki timu yao pindi itakapowasili nchini kutokea Ghana.
Katika mchezo wa jana Yanga ilipoteza kwa kutandikwa bao 3-1 na timu ya vijana ya...
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Yanga, leo wako ugenini jijini Accra, Ghana kwa kazi moja tu – kupata ushindi dhidi ya Medeama ya huko ili kujinasua kutoka mkiani.
Vipigo...
Habari wana jamvi!
Mimi binafsi tumezoea kuona na kusikia wachezaji wanaongoza kwa utajiri ulaya, Sasa leo ngependa kufahamu mchezaji au wachezaji wanaoongoja kwa pesa hapa bongo.tz
Sky Sports wameingia mkataba na ligi kuu ya China Chinese Super League kuonyesha ligi hiyo moja kwa moja kutoka China.
Mechi hizo zitaanza kuonyeshwa live kwa misimu mitatu mfululizo kuanzia...
FIFA chief Gianni Infantino wants two more Africa slots in expanded World Cup
An expanded World Cup was one of the key points in the election manifesto of Gianni
Nigerian President Muhammadu...
Kila siku tumekuwa tunajiuliza kwanini watanzania wengi wanafuatilia ligi ya uingereza kuliko ligi yoyote duniani. Jibu ni moja tuu..inatangazwa sana..lakini sio utangazaji kama tunavyotangaziwa...
MACHO ULAYA, MASIKIO CHINA.
Umewahi kuona mtu anaangalia Tv huku anasikiliza redio? Hapo utakuta sauti ya Tv iko chini sana. Hii ina maana kuwa anapenda kutazama kinachooneshwa lakini pia hataki...