Umakini unatakiwa kwa kila mtu aliye mpirani wakati anarudi nyumbani .
Uchunguzi wangu umebaini kwamba makundi ya vijana yatajipanga kuanzia maeneo ya keko furniture , DDC , BORA , NJIA PANDA YA...
baada ya kutuonjesha ile bure tunataka tupewe tena nafasi ya kuja kuwashangilia kwa wingi,au mna uhakika wa kupigwa tena ili tusije kwa wingi,sema kwa tizi na magazeti yalivyoimaliza hiyo mechi...
Juzi tarehe 13 Julai 2016, Kamati ya Uchaguzi ya TFF katika kikao chake imetoa ufafanuzi juu ya mgogoro unaoendelea katika club ya Stand United kama ifuatavyo:-
Kwanza, kamati imepitia vielelezo...
Video: Goli alilofunga Sammata
Mbwana Samatta ameendelea kuandika historia barani Ulaya baada ya kufunga kwenye mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa ngazi ya klabu barani Ulaya. Usiku wa Julai...
BuenosAires,Argentina.
BAADA ya Lionel Messi kutangaza kustaafu kuichezea Argentina watu mbalimbali wamejaribu kuonyesha ni jinsi gani taifa hilo la Amerika ya Kusini litapoteza kitu muhimu nje na...
Thiery Henry ameondoka Arsenal baada ya kuambiwa achague moja kati ya kufundisha vijana wa U-18 au kazi Sky Sports.
========================
Thierry Henry has left Arsenal after giving up the...
Hatimae juhudi za Vyombo vya habari vya Uingereza kutaka kutengeneza namna Cristiano Ronaldo aonekane anafanya vizuri katika Mashindano ya kimataifa zimegonga mwamba baada ya Washindi wa Tuzo...
Mabingwa wa hispania Barcelona , wamefanya usajili wa kushangaza wa mchezaji wa Timu ya taifa ya France na club ya Lyon Umtiti .
Taarifa za Goal.com zinadokeza kwamba mchezaji huyo mwenye miaka...
Mjadala mkubwa kwa sasa Duniani kwa wapenzi wa mpira ni Man Utd kutaka kumsajili Pogba kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao Msimu ujao. Lakini klabu inayommiliki Paul Pogba, Juventus ya Nchini...
Dear all,
I am at an early stage of planning my trip to china beijing which is due to last 3 weeks next march.
My main interests are Beijing roast duck, visit The Great Wall, the Forbidden City...
-Mkuu wa kitengo cha habari Yanga SC, Ndugu Jerry .C. Murro amelazimika kukatisha likizo yake na kurejea jijini Dar, ambapo hakuwa na maneno mengi zaidi ya kusema. .
" Tulieni wala msijali...
Mimi ni kijana mtanzania, umri wangu ni miaka 27. Nimetokea kuupenda mchezo wa kuogelea na kuhitaji kujifunza ila sijui pa kuanzia.
Please msaada kwa anayefahamu.
ITAKAPOFIKA Oktoba 26 mwaka huu, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, atafikisha miaka mitatu tangu alipoingia madarakani akimshinda mpinzani wake, Athman Nyamlani.
Kuanzia...
From BBC
Page last updated at 15:08 GMT, Tuesday, 24 May 2011 16:08 UK
E-mail this to a friend Printable version
Birmingham City pull plug on summer tour of Tanzania
McLeish has been...
tunaizisema sana simba na yanga kutoingiza kipato ili hali wanamashabiki nchi nzima kwa madai timu hizo zinapocheza mashabiki hulipa kiingilio ni kipato tosha kwa vilabu hivyo.
leo ligi ya...