Wale wenzangu na mimi wabishi sasa yamekuwa pogba asilimoa 110 % anaenda zake aon Carrington
wengi walibisha tena wapinzan lkn no way but is it true that paul pogba weathier 100 mil pound?
the...
Hapa anamzungumzia Vincent Bossou, yule Beki kiboko ya Drogba.. Namnukuu..
"Korea Kusini ni moja ya nchi ambazo wachezaji wanalipwa vizuri na kwa ujumla wachezaji wakubwa huondoka Ulaya kwenda...
Arsenals manager Arsene Wenger is not a loser (Picture: Getty Images)There are different types of managers in the game. There are some who do it for the club and others who do it for personal...
Beki wa kati wa zamani wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Inter Milan ya Italia Marco Materazzi , usiku wa July 8 2016 ameamua kuweka wazi kilichomfanya apigwe na nahodha wa zamani wa timu ya...
Habari yako Mkuu popote pale ulipo,
Kabla ya yote hongera sana mkuu kwa kupata nafasi mpya kuwa Katibu Mkuu wa Simba ni matumaini yangu kwamba utafanya kazi kwa weledi ili kuitoa Simba hapa...
Msomi gani unabisha hata vitu vipo wazi kabisa.
Unabaki kijisifu eti umesoma Marekani, Swedeni na Afrika Kusini.
Kuwa mpole tu azam warushe hiyo mechi kuliko kukaa kupotosha wakati kanuni zipo wazi.
Ndugu wanasports
Nimepokea kwa mshituko kuwa msemaji mkuu wa klabu cha simba s.c ndugu sande manara amepofuka jicho moja halioni kabisa na lingine lililobaki linaona kwa uhafifu sana
Hivyo sisi...
Unaanzaje kumfunga Genius wa soka wa dunia ya leo?Yule ni Kiumbe toka sayari ingine usakataji wake kabumbu hauna mfano Messi ni burudani tosha aisee...sijui kama atabanwa kiasi gani na adhabu hiyo...
Naam, hivi ndivyo tunaanza.
Nitajitahidi sana kuweka updates as usual...
=======
Things to note:
> Euro 2016 semi-final updates from the 8pm BST kick-off in Marseille
> World champions face the...
Inavyoonekana timu ya wanaoitwa 'makinda fc' ndo bac tena sasa hiv wamegeukia vibabu vya kimataifa...ngoja tuwaone ISIDINGO Fc aka wazee wa next seasons aka wazee wa kujipanga msimu ujao...
=========
KAMATI YA MAADILI TFF YAMPIGA PINI JERRY MURO, KUTOJISHUGHULISHA NA MASWALA YA SOKA KWA MWAKA MMOJA
MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro (pichani)...
Kocha mkuu wa Yanga amesikitishwa na kitendo cha mchezji wake Deus KASEKE 'kupata ajali ya bodaboda' na kuwaonya kwamba ni marufuku wachezaji wa timu hiyo ya KIMATAIFA kujichanganya uswazi...
Yule Msemaji Mkorofi na mwenye sifa na majigambo wa Klabu moja Kesho anategemewa kuhukumiwa Kifungo cha kati ya mwaka mmoja ( 1 ) hadi mitatu ( 3 ) ila uwezekano wa kufungiwa kutojihusisha na...
Mchezo unaitwa MMA (Mixed Martial Arts) dah ni hatari zaidi hata ya Boxing, ni kama street fight, yaani ni marachache pambano linaisha bila KO na TKO, na ni marachache pambano linaisha bila mtu...
Simbaya kukumbushana kwa herI kumsaidia mh RAIS
MH WAZIRI MKUU alipoingiaa alisema atajitahidi kukusanya kodi NA mojawapo n kuhakikisha wanamichezo wanatumia electronic tkts
MPAKA leohii mh...
Nimeshangazwa na Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania kwa kauli aliyoitoa juzi wakati akizungumzia michezo ya Olimpiki kuwa kitu cha muhimu ni kushiriki na si kushinda. Nadhani wakati...
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeondoka saa 9.45 alfajiri ya leo Juni 30, 2016 kwa ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia kwenda Visiwa va Hame-Shelisheli...