MABULA (KULIA) AKIPAMBANA NA IDDI MOSHI WA YANGA KATIKA MICHUANO YA TUSKER KWENYE UWANJA WA TAIFA (SASA UHURU) MWAKA 2000).
Taarifa ya msiba, inaeleza beki wa zamani wa Shinyanga Shooting na...
Chama langu nawaona sio wale niliowazoea.
Kwanza pale mbele wanapangwa warembo tu Ozil,Dlaxer na Gotze hakuna mfia timu pale tofauti na Muller ambaye anapangwa pembeni badala ya kati huku katoto...
Nimetafakari sana leo baada ya kuangalia lineup ya timu ya Ufaransa na robo tatu ya wachezaji ni weusi tiii ,sasa nimejiuliza sana hivi hiyo nchi hakuna wazungu kabisa maana nina hakika jambo...
Mh. Nape (pichani) akiwa pamoja na baadhi ya washindi kwenye mashindano ya tennis yaliyofanyika kwenye viwanja vya gymkhana jijini dar es salaam.
INAONYESHA DALILI NJEMA KUWA SERIKALI IMEDHAMIRIA...
Hawa ndio watangazaji wa mpira bora watatu Tanzania kati ya 1985-2011.
1.Sued Mwinyi
2.Jesse John
3.Hamed Jongo
Vigezo nilivyotumia
1. Kutochosha wasikilizaji.
2. kutokuonyesha upendeleo wa timu...
Jamani mdau wenu ninashida nahitaji kufuatilia michuano ya Copa america Nina kingamuzi cha Star times sasa naulizia ni channel gani ktk star times inaonyesha hizi mechi? Au nisijisumbue Ku...
Ninaye Nzi wa uhakika ndani ya ukumbi wa uchaguzi wa yanga afrika .
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Yeyote mwenye taarifa za uhakika aweke hapa , usihofie chochote .
Kila la heri...
Wengi wanaamini kwamba hii itakuwa mechi ngumu , lakini bila kumung'unya maneno kiukweli hii ni game ya one way traffic.
Kwa namna yoyote ile waingereza japo tunawapenda ( nadhani kwa vile...
Waziri wa michezo wa urusi Vitaly Mutko, anasema kuwa anaelewa kuwa huenda taifa lake likapigwa faini na shirikisho la soka la bara ulaya kutokana na tabia isiyofaa ya mashabiki wa timu ya taifa...
Wanandinga wenzangu hasa wapenzi wa kabumbu la kimataifa euro 2016 ndo hyo imesogea, embu kila mmoja aseme atasimama na chama gani....mimi huwa napenda kusima na underdogs au ile wanaita Dark...
Italy nawapen saportbyajutosha nnachohitaji mrud na ndoo nyumban tuuuu wote kwa pamoja semen.mungu ibark Italy
Chileeeeeee pia hapa saport yakutosha nawapa mrud na ndooo nyumban sote kwa pamoja...
habari wadau wa kikapu..
baada ya drama nyingi za march madness playoffs...
college basketball season ndio inafikia mwisho this weekend...
div 1 basketball final four ni mojawapo ya tukio...
Habari zenu!
Wana Simba SC, kuna kitu LAZIMA tukubali. Kuna ule msimu tulienda bila kufungwa mechi hata moja na kutwaa ubingwa, pia tulimpa kipigo cha paka mwizi mtani wetu wa jadi Yanga, ila toka...