Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), leo Juni 7, 2016 limefanya kikao cha pamoja na uongozi wa Klabu ya Young Africans. Kikao hicho kilifanyika ofisi ya TFF iliyoko Uwanja wa Kumbukumbu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waswahili wanasema, "Mwenye kisu kikali, ndiye mla nyama". Na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetoa kalenda ya msimu mpya wa mashindano na matukio ambako baada ya mapumziko ya wachazeji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kocha / mchezaji wa Yanga/kocha msaidizi yanga Bw.Mkwasa Leo amechezesha wachezaji wa timu yake licha ya kuwa chini ya viwango. Watanzania tuache ushabiki wa yanga Na simba Na kuwachukia...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
SASA NIMEAMUA WAJUKUU ZANGU NITAWASIMULIA KUHUSU NYERERE. Nimetamani sana hapo kwenye Makala yangu ya leo Jumapili ya Tarehe 5 June ingesomeka TFF ITAMBUENI TOFAUTI YA MAVAZI na sio Mbeya City...
8 Reactions
16 Replies
3K Views
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi huu mwaka una nini? Kafa Antonin Scalia...kafa Phife Dawg...kafa Prince...kafa Muhammad Ali...na leo habari zimekuja eti Kimbo Slice kafariki huko South Florida! Kwa mujibu wa CNN, Slice...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Klabu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara zimetakiwa kuanzia msimu ujao ziwe na ofisi, Uwanja wa mazoezi, kuendeleza programu za vijana ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kusoma. Hayo yamefikiwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Carlos Tevez, Paulo Dybala left off Argentina's Copa America Zaidi fungua hapa; squad Carlos Tevez, Paulo Dybala left off Argentina's Copa America squad
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kumekucha sasa. Ni kwamba kuna tetesi kwamba TFF wameamua kuwaachia Yanga waendelee na mchakato wao wa uchaguzi na wataongea na waandishi wa habari siku ya juma nne.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KIWANGO KIBOVU,UTEUZI MBOVU,NDO HALALI. Kwa stars yetu hii imekuwa tatizo kubwa,siku ya kufa nyani ... Mkwasa alianza vizuri ila kitendo cha kutojiamini na kutaka kum please Samatta itamgharimu...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Arsenal wameanza mazungumzo na Leicester City kuhusu uhamisho wa Riyad Mahrez 25, baada ya kufikia makubaliano ya kumsajili Jamie Vardy, 29. (Sun) Washika bunduki hao wanaimani Vardy atasaini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nianze na DAIMA MBELE NYUMA MWIKO ____________Jina MOODY KABWE NI MWNACHAMA WA YANGA TANGU Tarehe 7/11/2009 Kadi No 006259 Na kadi yangu ni halali mpaka mwaka 2018 Nikiwa Ni mwanachama...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wengi wanalaumu kitendo cha kuachwa nahodha wa zamani Nadi Haroub kimesababisha kufungwa mchezo wa jana mimi nasema yalikua matokeo ya mchezo tu na tujenge imani na upendo kwa manahodha wanaopewa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Vyombo mbalimbali vya habari vya ulaya vimeripoti leo hii. " Jamie Vardy is widely reported to be the subject of a bid from Arsenal that meets A BUY OUT CLAUSE in the extended deal he penned in...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Baada ya mchakato mzima kukamilika sauti na video za waliokuwa wanapanga kuihujumu Yanga kupitia uchaguzi mkuu wa klabu, uongozi wa Yanga leo tarehe 6 June, saa 6 : 00 mchana utawakabidhi ushahidi...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Nachukua nafasi kumtadharisha kocha wa timu ya taifa kutofautisha timu ya Taiga na klabu yake Yanga,madhara ya mapenzi kwa Yanga yameiponza timu Yetu ya taifa.
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Jamal Malinzi, rais wa shirikisho la soka nchini, sasa inafaa ajipime. Tokea aingie madarakani kafanya mambo mengi ya kulalamikiwa na soka letu haliendi mbele kama Taifa. Hivi karibuni tu kuna...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Stars imekuwa ikiendeshwa kiujanja ujanja tu bila kuwepo program yoyote ya maana ambayo inaweza kuwa dira ya soka la Tanzania hasa linapokuja suala la timu ya taifa. Jambo baya zaidi ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumekuwa tukipiga kelele sana pale walimu wa kigeni wanapokuja kufundisha timu yetu ya taifa ya mpira wa mikuu kwamba hawana viwango. Na huwa hatuwapi nafasi ya kuizoea timu ispokukuwa Maximo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa kweli sina budi kutoa dukuduku langu kuhusiana na mwenendo mzima wa timu yetu ya taifa Taifa Stars .............. binafsi naamini soka sio maneno soka ni vitendo kwa hali inavyoendelea stars...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…