Ni ukweli ulio wazi kwa nchi za Afrika ya Mashariki, hakuna nchi inayopenda mpira kama Tanzania. Ndio maana kumekuwa na lindi kubwa la wachezaji na makocha wa kigeni kuja kwenye soka la Tanzania...
Hakika lililofanywa na makocha wetu wa Taifa Stars Moroko, Mgunda na Julio ni kutupotezea muda na kutoheshimu hisia zetu.
Kwahiyo Mgunda na Julio ndo wamemshauri Moroko kuwa Novatus na Mao...
Msimu uliopita, alikuwa muhimu kwa Young Africans kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya TotalEnergies, lakini gwiji wa Yanga, Stephane Aziz Ki anatazamia kuboresha matokeo hayo katika...
Inaelezwa kuwa Winga hatari wa DR Congo, Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk, kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake, ukweli ni kwamba Mpanzu hataki tena...
-Mbunge Mavunde atangaza zawadi nono za washindi
-Anuia kuendeleza na kuvikuza vipaji vya Vijana Dodoma
-GSM Water na Asas Dairies wanogesha mashindano kwa ufadhili
Dodoma
Mbunge wa Jimbo la...
Jana usiku kupitia luninga ya AZAM sports one kulionyeshwa mchezo baina ya Uganda Cranes na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.
Kwa kweli Uganda Cranes walionyesha kandanda safi na nusura Timu ya...
Unaambiwa, vigogo wa soka la Morocco, Wydad Casablanca, hawajakata tamaa. Wakifukuzia saini ya mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Clement Mzize. Hii ni baada ya klabu yake kuweka wazi kuwa...
Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam...
Tunayo furaha kumtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu wetu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili...
Kawaida unaposikia jengo, barabara, daraja, uwanja nk. vimepewa jina la mtu fulani basi kuna uwezekano mkubwa wa mtu huyo kuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha jambo hilo au kafanya mambo...
pichani ni mchezaji maarufu zaidi NBA Lebron James futi 6'8 / sentimita 208
Siku ya jana nilikuwa nimeenda kupasha mazoezi uwanjani kukimbia raund zangu, nilienda kupumzika kwenye court ya...
Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu
Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za...
Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.
Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro...
Salaam wakuu....
Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha
Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa...
Sasa unaweza kujishindia Zawadi kubwa ya milioni 50 kwa kucheza mmojawapo wa michezo ya kasino inayopatikana ndani ya 888 bet tanzania. Ili uweze Kushinda hakikisha unafungua account ya 888 bet...
Taifa stars ni timu pekee yenye wapenzi wengi sana kuliko ilivyo kwa Simba na Yanga. Kocha yeyote ambaye atateuliwa kuifundisha timu yetu ya taifa stars lazima awe amesheheeni sifa nzuri za...
Bila ya serikali kuingilia kari kukomesha uzembe waTFF wananchi wa Tanzania watahuzunika maisha yao yote kwa matokeo mabaya ya timu ya Taifa {taifa stars}
Hivi TFF inatumia kigezo gani cha...
Waziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7...
Kwa habari niliyoisoma asubuhi kwny gazeti la online la mirror zinaeleza situation ya sasa ya emanuel eboue kiuchumi kuwa ni mbaya sana kwani amefilisika mpk kufikia kukosa hta sehemu ya kulala na...