Huyu kibosile wa TFF, sio siri shirikisho limemshinda, kwani toka aingie ni kuwa TFF imekumbwa na majanga makubwa ambayo naona kazi imemshinda, moja ya tatizo kubwa no suala la kodi kwa TRA...
Kiukweli ili kuwapiga nyingi inabidi wawapeleke Taifa saa8 mchana, hakuna njia nyingine ya kuwang'oa zaidi ya kuwakimbiza saa8 mchana pale taifa na Chamanzi.
Ifikie wakati na sisi tuanze hujuma...
Zinasema Kwamba Kinachochelewesha Kamati MAALUM Ya Kuchunguza Upangaji Matokeo Wa Mechi Za Geita FC Dhidi Ya FC Kanembwa Kule Kigoma Na Ya Police Tabora Dhidi Ya JKT Orjoro Mkoani Tabora Kutoa...
KUELEKEA "EL CLASICO" WEEKENDI HII.
UPINZANI WAO ULIANZIA HAPA
Ni katika ardhi iliyopo Manispaa ya San Lorenzo. Mahali ilipo hifadhi ya 'Siera de Guadarrama' ni...
MH NAPE UNAVYOISHI KAMA PESS ZA VIINGILIO AZIWAHUSU SERIKALINI
KIUKWELI SERIKALI HII N SEKTA MUHIMU YA KURUDISHA ZA MCC AMBAZO TUNAWEZA PELEKA VIJIJINI..MH WAZIRI NAPE PELEKENI CAG NA TAKUKURU...
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (pichani kushoto) amesema kwamba ana wasiwasi Uwanja wa Karume, unaweza kupigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Hiyo inafuatia...
Moja ya story kubwa zinazosubiriwa sana msimu huu wa usajili ni kuhusu kocha LVG kuacha kazi kwenye club ya Manchester United. Kocha ambae anatajwa sana kuchukua mikoba ya LVG ni Jose Mourihno...
LICHA ya Rais wa awamu ya nne,Jakaya Kikwete kuacha maagizo ya kulipwa mshahara na marupurupu kama walivyokuwa wanalipwa makocha wa kigeni waliopita, kocha mkuu wa timu ya soka ya Tanzania (Taifa...
p { margin-bottom: 0.1in; line-height: 120%; }
Najua akuna anaependa hili..KIUKWELI Ifike wakati waziri mkuu arekebishe pale pesa za serikali zinaposhindwa kukusanywa..IKUMBUKWE Pesa za mapato ya...
Mara nyingi sana naiguatilia hii TFF ya malinzi kama inajielewa au vip kwa sababu zifuatazo:
1- Wanadaiwa bil 1.8 na nimemsikiliza huyu malinzi analalamika na kusema hata uwanja wa karume nao...
Leo kuna mechi mbili za Kombe la Fa kati ya Yanga VS Ndanda pale uwanja wa Taifa na Azam Fc Vs Tanzania Prisons katika uwanja wa Azam complex pale Chamazi.
Washindi wa mechi hizi wataingia nusu...
Mie Ni Mnazi Mkubwa Wa Kujua Majina Ya Utani Ya Wachezaji,Haswa Wale Wa America Ya Kusini.
Najua Machache Kama.
Messi-La Pulga Atomica.
Sanchez-El Genio Chileno.
Falcao-El Tigre.
Cavani-El...
Kufuatia Nigeria kufungwa goli moja bila leo sasa wametolewa rasmi maana hata wakishinda mechi ya mwisho wataishia kupata pointi tano tu wakati MISRI wana pointi saba.
Kimahesabu ni Tanzania peke...
Katika hali inayoonyesha kuwa kama hali hii haitadhibitiwa haraka na upesi na Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Serikali na Wadau kuna siku tutashuhudia dhahama kubwa nchini Tanzania katika Sekta...
Sijajua maendeleo ya mchezaji victor wanyama kwa record yake ya upachikaji magoli kwa sasa ipo vipi,lakini wakati kuna taarifa zikidai macho ya ma agent wengi kwa sasa afrika na ulaya yakiwa kwa...