Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kuhusu nafasi ya kocha kwenye timu,utakuta timu inafanya vibaya hadi wanaamua kumtimua kocha.lakini akija kocha mpya timu iaanza kufanya vizuri mfululizo,huyo...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Drogba: Ninataka kuichezea AC LONDON, England MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Didier Drogba ameweka wazi kwamba Chelsea walimzubaisha: Ndoto yangu ni kuitumikia AC Milan. Mshambuliaji huyo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
KAMA KUNA JIPU KUBWA AMBALO SERIKALI NA TFF WANAPASWA KUYATUMBUA NI MAJIPU YA MAGETI YA UWANJA WA TAIFA KIUKWELI KWA MVE YA TKT ZA KAWAIDA N UKWELI HALISI WIZI MKUBWA UNAFANYIKA PALE GETINI NA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wachezaji wa Yanga watakaoanza ni; 1. Ally Mustapha 2. Mbuyu Twit 3. Haji Mwinyi 4. Kelvin Yondani 5. Vicent Bossou 6. Pato Ngonyani 7. Haruna Niyonzima 8. Thabani Kamusoko 9. Donald Ngoma 10...
1 Reactions
110 Replies
20K Views
Naamini kuna wapenzi wengi sana wa mbio za magari. Mchezo huu si mgeni hapa nchini kwetu. Hapa tutakuwa tukijulishana mambo yanayojiri kwenye mchezo huu wa kipekee kabisa. Enjoy.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mpira wa Tanzania utaendelea pale tu nchi yetu itakapoweza kupata vijana wenye vipaji vya kucheza mpira na ambao sio wavivu wa mazoezi na ambao wana mwamuko na shauku ya kucheza mpira nchi za nje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haihitaji akili ya juu sana kwa kile ambacho Asr8 watakipata chini ya vijana hatari sana ambao hawajawahi kutokea katika sayari hii ya dunia nazungumzia safu ya MSN(Messi,Neymar na Lous Suarez)...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari zenu! Katika Tv hasa upande wa michezo hususani soka, Clouds Tv kupitia Sports bar na Sports Xtra, wanajitahidi sana! Hawa jamaa HAWASUBIRI kuletea habari na BBC au chaneli za mbele, huwa...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Eric Wainaina’s new ‘Tinga Tinga’ promises a great night of musical theatre Maggie Karanja both directs and co-stars with Gibson Ndaiga in “Secret Lives” at Phoenix Theatre. PHOTO | MARGARETTA...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nteze John Lungu Shavu Huyu Mchezaji alikuwa mahiri sana kwa kufunga magori katika timu za Pamba ya Mwanza na Simba ya Dar es salaam, Pichani hapo yupo na Binti yake wakifurahia maisha baada ya...
0 Reactions
21 Replies
15K Views
TIMU ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, inaondoka leo Ijumaa kwenda Harare kurudiana na ‘wadada’ wa Zimbabwe katika raundi ya kwanza ya kuwania kufuzu fainali za Ubingwa wa Afrika kwa soka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hata kama mashabiki hawakumpenda huyu jamaa licha ya mafanikio makubwa alioipa stand kwani moja ya timu ambazo zipo kwenye nafasi nzuri tu ya msimamo wa VPL ila muonekano wa king cha wenu hauvutii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Urban Videoz Music Produced C9 Kanjenje Directed by Allen Masalla Artist Steve RnB Song: Pole Pole Location: Dar-es-Salaam, Tanzania Source: Anko Maujanja TV youtube
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ili soka liweze kukua linamchango wa watu mbalimbali ikiwemo wachambuzi sasa kuna huyu bwana anajiita saleh jembe ana blog yake....Nimepitia kusoma kule leo na nimeikuta hii habari...
0 Reactions
4 Replies
37K Views
Alizaliwa 23/10/1940 mjini minas na kukulia katika mji wa sao paulo Alianza soka ya kulipwa katika klabu ya santos akiwa na miaka 15 Aliitwa timu ya taifa ya brazili akiwa na miaka 17 tu katika...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…