Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwako sister Jonesia Rukiyaa, Najua wewe ndiye umepata nafasi nyingine muhimu ya kuchezesha mechi kubwa ya watani, yaani Yanga na Simba. Mechi pekee ambayo inaweza kusimamisha au kuongeza kasi ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wafugaji wilayani Kilosa wametakiwa na mkuu wa wilaya ya Kilosa mh.John Henjewele kuchangia 100,000 kila mfugaji kwa ajili ya kuchangia mbio za mwenge wa Uhuru. Ukichangia 100,000 unapewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimekuwa nikifatilia mechi za ligi mbalimbali za ulaya lakini sijawahi kuona gari ya aina yoyote uwanjani,iwe ya polisi,ambulance au basi la wachezaji,tofauti na huku kwetu magari kibao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Jumamosi kati ya watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Uwanja wa...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
KUZIONA YANGA NA SIMBA TSH 30,000 | Swahili Media tiketi zitaanza kuuzwa ijumaa kuanzia majira ya saa mbili asubuni,ambapo wadau wa soka wametakiwa kujitokeza kwa wingi kununua tiketi hizo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana mchezaji Bora wa dunia mara tano Lionel Messi alifanya kitu cha ajabu wakati alipokwenda kupiga penati dhidi ya timu ya Celta Vigo na kutoa pasi kwa Suarez badala ya kufunga. Messi alikimbia...
2 Reactions
48 Replies
12K Views
Tff inafanya mzaha kuweka mwamuzi mwanamke. Wasifananishe na mechi ya bonaza ya mtani jembe alivyoboronga leo anatulete yule yuke sis mashabiki tunamtadharisha atarudi kwao Bukoba kwa kutambaa.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo Leicester City anakata rasmi kelele za Arsenal kuhusu Ubingwa. Mpira unaanza muda mchache ujao. Wale Team Leicester tujuane mapema...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu Wakuu? Nianze na lengo la uzi huu, utakuwa shuhuda wa hili kwamba ligi kuu nchini Ujerumani (Bundesliga) imeonekana kuwa bora na yenye ushindani ukilinganisha na ligi zingine za...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu! Nimesikitishwa sana na kilichotokea ligi daraja la kwanza ktk mechi zilizohusisha timu zenu za JKT. Timu za JK kanembwa na JKT Oljoro wametia aibu kwa 'kupanga' matokeo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndio mpira umemalizika uwanja wa Mkwakwani Coastal wakiwa wamepata ushindi wa goal 1 kwa mtungi, Hongera sana Coastal. Goli limefungwa na Miraji Adam dk 65
0 Reactions
12 Replies
2K Views
LICHA ya ushindi wa mabao 2-1 yaliyofungwa na Mganda Hamisi Kiiza katika mechi dhidi ya 'wakatisha tiketi' Stand United mjini Shinyanga, Simba wanaonekana kukwea kileleni kwa muda wakisubiri...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hili ninalosema ni jambo ambalo wengi hawatataka kukubaliana nalo lakini ntalisema ili kuokoa jahazi katika soka la Tanzania. Mimi binafsi ni mpenzi wa mpira wa miguu na michezo kadhaa toka mwaka...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Ligi Daraja la Kwanza ndio hiyo inaelekea Ukingoni huku leo kukiwa na Michezo kadhaa ya kukamilisha Ligi hiyo. Michezo hiyo itaamua ni nani anapanda na nani anabaki na yupi anashuka. Wacha...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mechi zitakazochezwa jumapili baina ya timu 4 za kwanza zitaamua mwelekeo halisi wa ligi hii yenye wapenzi wengi duniani. Arsenal itamenyana na Leicester City ambayo bado inaongoza ligi ikiizidi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yanga wameifyatua Cercle ya Mauritius goli moja bila dakika ya 17 ikifungwa na Donald Ngoma. Mchezo umekwisha.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mmiliki wa Arsenal anunua shamba la £500m Image captionStan Kroenke Mashabiki wa Arsenal kwa mda mrefu wamelalamika kuhusu kushindwa kwa kilabu hiyo kununua wachezaji wazuri kila dirisha la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu Mnyama hatari mda huu unakipiga na Stand United ligi kuu ya Vodacom.Nipo hapa Kambarage(kati ya viwanja vilivyoporwa na CCM) kuwaletea mtanange.Simba 2:Stand 0,Ng'we ya pili.Simba watisha
0 Reactions
24 Replies
8K Views
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, leo hii wanaanza kampeni yao kuwania taji la ubingwa wa Afrika kwa kucheza ugenini na Cercle de Joachim ya Mauritius, lakini ikiwa ni miongoni mwa klabu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Joseph Kabila amempa kila mchezaji wa timu ya taifa, gari aina ya Toyota yenye thamani ya dola 60,000, kwa kushinda michuano ya CHAN. Rais Kabila pia...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…