No pressure on Kenya Sevens as they build towards the Olympics says coach Benjamin Ayimba
14 January 2016 at 8:30 AM
Nairobi — After silencing critics with a breathtaking performance in Cape Town...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta January 29 taarifa za yeye kujiunga na klabu ya KRC Genk ya...
Mhispania Pep Guardiola ametia saini mkataba wa miaka mitatu kuwa meneja mpya wa Manchester City.
Guardiola, atachukua majukumu hayo kuanzia Julai, klabu hiyo ya Ligi ya Premia imetangaza...
Wadau naomba tuweze kuwasaidia wachezaji wa team zetu kimawazo. Tufaham kwanza wachezaji wetu wengi hawana Elimu na pia hawana ushauri wa kisaikolojia. Hawajajengwa kifikra au Kisaikolojia kuwa...
Captain wa zamani wa MUN amestaafu mpira akiwa na miaka 34, hii inatoka na majeruhi ya mara kwa mara yaliyomwandama , kwangu mimi ni kati ya mabeki bora wa kati niliyo,wahi kuwaona
When Ronaldo scores he points at himself. When Messi scores he points Up
Ronaldo will do 5 skills to beat one Player. Messi will do 1 trick to beat 5 Players.
Ronaldo is compared to Messi. While...
Wana Yanga pamoja na wanasoka nchini walikuona au kukusikia ukitangaza kwa mbwembwe kuwa pamoja na urafiki binafsi uliokuwa nao na Niyonzima, kwa kosa hili alilolifanya huna msamaha naye na hakuna...
Arsenal mara nyingi ikitanguliwa kufungwa hasa kwenye big games haiwezi kurudi mchezoni na mara nyingi hufungwa kama tulivyoshuhudia leo.
Narudia kusema tena, Arsenal hii haiwezi kubeba ubingwa...
Hoja dhaifu na utendaji wako usiokuwa makini ndio uliotufikisha hapa, tunafungwa goli saba tunachekelea, umemleta SAMATTA usiku wa manane kama mchawi tumechekelea, Umemdhalilisha Canavaro...
TAARIFA KWA WANAYANGA KUPITIA VYOMBO YA HABARI
1.Baada ya kuupitia uamuzi wa Kamati ya Nidhamu kuamua sababu kuvunja mkataba kati ya klabu Yanga na mchezaji Haruna Niyonzima, nilihisi kulikuwa...
Habari zenyu wanaspot wote.
Naomba mwenye link au namna yoyote ya kupata mechi ya UEFA C L baina ya timu tajwa aiweke hapa.
Mechi hiyo ilichezwa 23/4/2003.
Kwa kumbukumbu kidogo:
Naamini...
Nani ambaye alishawahi kucheza mpira (ligi za watoto) Mbeya, Kwenye kiwanja ngoma.
Mimi nilikuwa nachezea Tim moja ilikuwa inatokea Iyunga, tulikuwa tunajiita Everton. Kiongozi wetu alikuwa...
TFF imeonyesha udhaifu mkubwa(jipu) baada ya kuiruhusu azam fc kuacha ligi kuu kwenda kushiriki bonanza nchini zambia la timu 4, huu ni mwaliko kutoka zesco, michezo 2 ya azam ligi kuu...
Nimesikia pana watu wameongozana na mchezaji Mbwana Samata huko DRC kwenye klabu yake ya TP Mazembe eti kufanikisha uhamisho wake kwenda Ulaya. Nimejiuliza je walimsaidia kujiunga na TP Mazembe...
ADELE "HELLO COVER" - BEKA IBROZAMA
This is a song sang by a very gifted woman Adele, i sang it to show world that everyone appreciate and love to enjoy good music! Asante. Credit to Adele...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo aliyewahi kuichezea vilabu vya Arsenal, Man City na baadae Tottenham Hotspurs Emmanuel Adebayor alikuwa hana timu kwa miezi kadhaa sasa baada ya kocha wa klabu...
Siioni Jf ya zamani ambayo members walikuwa wana-update matokeo ya michezo mbalimbali.
Ni mfumo ambao ulikuwa unalifanya hili jukwaa la michezo kuwa jukwaa linalopendwa na kuvuta members wengi...