Na hizi ndo sababu;
1. Wachezaji kuikacha Timu
Katika msimu wa 2013/14, Mbeya City ilikua miongoni mwa Timu zilizoonesha kandanda murua sana.. ikiwa ni msimu wake wa kwanza katika VPL. Kandanda...
Katika kuimarisha maandalizi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) kuelekea katika mashindano mbalimbali ikiwemo mechi mbili za ugenini na nyumbani dhidi ya Algeria, Rais wa TFF Jamal Malinzi ameunda...
Tangu karne hii mpya ianze, mnamo mwaka 2000, mmoja kati ya wachezaji bora kabisa toka nchini kwetu Tanzania [kama si bora kuliko wote].. niliobahatika kumshuhudia ni "Mtalamu" Haruna Moshi Boban...
KIJIWE CHETU
MKIMBIZI ALIYEGEUKA MFALME BARCA
Huwa nina Kamsemo Kangu nasemaga ivi, "you can Find a Peace anywhere, but you can't find a love Everywhere" unaweza kukuta amani Popote Pale...
Nimekuwa nikipitia pitia kwa mitandao tofauti nikisoma habari kuhusu huyu wakili Corazon Kwamboka na jinsi waandishi tofauti wa blogs wana maoni kumhusu.
Well, yaonekana kuwa Corazon Kwamboka...
Wakati fulani nikiwa mdogo baba yangu alirudi nyumbani na suruali nzuri sana ya dangrizi kama zawadi yangu katika sherehe yangu ya kuzaliwa zaidi ya miezi miwili mbele.
Marufuku ilitoka...
Habari wakuu,
Leo uwanja wa Taifa kabla ya mechi ya Yanga na Mbeya city kulikuwa na mechi ya amani, ukiachilia mpira, ni mechi iliyokuwa inaburudisha kiana yake wakigombania Amani cup Tanzania...
There are so many benefits to trampolining; its a wonder not everybody is involved in bouncing back to health. Jesting aside it really is a great and fun way to get fit and it has lots of other...
Edi Gathegi lands role on NBC's ‘The Blacklist' as new villain
Born in Eastlands, Nairobi, and raised in California, Gathegi has had an impressive acting career landing roles in X Men...
20.09.2015.. Taifa Stadium.. Kulikua na mechi ya kukata na shoka kati ya Simba S.C na Kagera Sugar. Japo Mnyama alitawala mechi vya kutosha.. Kulikua kuna "kiumbe" mmoja hivi akiisumbua vya...
Mshindi wa jumla wa shindano la Serengeti Masta kwa wakazi wa Arusha Laota Elias akiserebuka mziki mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla wa shindano la Serengeti Masta kwa mkoa wa Arusha wakati...
Takribani miaka miwili sana chama la wananchi bado tovuti yake imekwama, fanyeni kuirekebisha. Pia andikeni majina ya wachezaji kwenye jezi zenu.. Wapi Dr. Tiboroha?
NDUGU WANACHAMA WAPENZI WA YANGA HONGEREN KWA USHINDI WA SIMBA..LABDA CHA KUONGEZA TU N KUHUSU WACHEZAJI.WA YANGA WANAOISALITI YANGA SIKU TUNACHEZA NA.SIMBA
NIOMBE TU KAMA KOCHA UNAWEZA...
Kwa tuliofuatilia sherehe za kumuaga rais anaemaliza muda wake mh Jk jana ktk sherehe zilizoandaliwa na Taswa mtakubaliana nami kua rais wetu huyu amekua tofauti sana na waliomtangulia ktk kupiga...
Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi matatu ya timu nane nane kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.
Mfumo huo wa makundi matatu umetokana na marekebisho ya...
Kocha wa Mbeya City Juma Mwambusi yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Yanga ili kurithi nafasi ya kocha msaidizi iliyoachwa na Bonfasi Mkwasa alienda kuwa kocha wa taifa stars, tayari mkwasa...