FIFA Compliance Head Says Russia, Qatar World Cups Could Be Taken Away
ZURICH Russia and Qatar could be stripped of their World Cup hosting rights if evidence emerges of bribery in the bidding...
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro kimeendelea kujifua katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia eneo la CMC asubuhi na jioni katika...
Kuna habari mesi alitaka mkataba wa miaka miwili Simba wakaatanda mkataba akasaini wa miaka hiyo 2.
Simba wakamwambia saini imekosewa wakampa karatasi nyingine akasaini ile karatasi ikaunganishwa...
RUSSIA and Qatar could be stripped of the right to host the World Cup if evidence of bribery in the bidding process emerges, the chairman of Fifa's audit and compliance committee has said...
A 2007 email shows FIFA President Sepp Blatter and then-South African President Thabo Mbeki held "discussions" over $10 million that ultimately went to allegedly corrupt soccer executives as...
Pole kwa kupoteza binti yako kipenzi Naomi kwa ajali.Alikuwa bado binti mdogo akiwa ndio kwanza amehitimu kidato cha sita mwaka huu.
Pole sana brother. Mungu akupe nguvu na familia yako...
Zile kelele za majibizano kati ya Ronaldo na mzee wa Blatter leo zimeibuliwa na gazeti linaloheshImika Spain la El Mundo.
Habari zaidi zinasema Blatter amekuwa akimtafuna demu wa Ronaldo toka...
A BBC investigation has seen evidence that details what happened to the $10m sent from Fifa to accounts controlled by former vice-president Jack Warner.
The money, sent on behalf of South Africa...
KIUNGO Mwinyi Kazimoto wa JKT Ruvu ameitwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Stars pamoja na Zahoro Pazi wa Mtibwa Sugar na kumtema Meshack Abel kwaajili ya fainali za Mataifa ya Afrika kwa...
Mechi hii yakihistoria inapigwa jijini Berlin Germany..Vikosi vinatarajiwa kuwa kama kawaida ila juventus watakua na pengo la kumkosa beki wao muitaliano Giorgio Chiellini....
Naona kombe...
Klabu ya St George ya Ethiopia, imetuma ombi la kumtaka Andrey Coutinho wa Yanga wakati kiungo huyo mshambuliaji raia wa Brazil akipiga hesabu za kupewa uraia wa Tanzania ili aichezee Taifa Stars...
Tukielekea kwenye kipute cha fainali ya UEFA Champions League kati ya Juventus na Barcelona, wajue mabingwa wa ligi hiyo tangu kuanzishwa kwake. Timu yako ipo?
2013-14
Real Madrid
Spain...
katika mji mmoja nchini ufaransa jamaa alikua anatoka kujirusha mara mkojo ukambana ilibidi ajisaidie pembeni mwa gari liloegeshwa mara mapaparazi wakamuibukia
mpka sasa nashindwa kumuelewa msemaji wa simba kuhusu swala la Ramadan Sigano kwnn alikurupuka kusema vitu asivyo kua na uhakika navyo pili wao wamepokea uongozi kutoka uongozi wa kina Rage hayo...
CANNAVARO WA YANGA,JABU NA WACHEZAJI WENGI WAKUBWA WAMESEMA MWIGULU NCHEMBA NDIO CHAGUO LAO.
Source:Mwanaspoti
Toleo la leo Ukurasa wa 6.
WACHEZAJI mbalimbali wa soka wametoa maoni na...
TFF imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za mgogoro wa kimkataba kati ya Mchezaji Ramadhani Singano na klabu ya Simba.
TFF imeagiza mwakilishi wa klabu ya Simba pamoja na mchezaji wa...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis...
Akihojiwa katika kipindi cha Jambo (TBC 1) cha leo tarehe 5/6/'15, waziri mwenye dhamana ya michezo nchini ametoa maoni yake kuhusu kocha msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars- Mecy Maxime kuwa...
Jana alhamisi mashabiki wa Dynamo Kiev walivamia uwanja baada shoot-out victory dhidi ya wapinzani wao wakubwa katika ligi ya Ukrania Shakhtar Donetsk. Angalia picha uone vurugu mechi za ligi kuu...