Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Et nimesikia baadhi ya klabu zinadai kuwa wachezaji watano tu wa kimataifa hawatoshi kuipa timu uwezo wa kupambana na timu kubwa Afrika mfano TP Mazembe.,. Hii hoja ina mantiki kweli? Hebu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nooj hajui lolote.Si kwamba tulikuwa tunafanya vizuri saaaaaana ila sasa hivi ni too much! Kama wakati wa Kim Poulsen tulizifunga timu Kubwa tu Cameroon,Zambia,Moroco na hizi Rwanda na Burundi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hili jambo linanitatiza kidogo, Nchi ya Marekani haijulikani kama nchi maarufu kwa mchezo wa huo kipenzi cha wengi hapa Duniani soka ambao unaratibiwa na FIFA yenye makao yake Makuu huko nchini...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Hahah Wazungu bhana! Haya za motomoto kutoka Zurich ni kwamba kwa sasa uchaguzi wa FIFA ambao unampa uwezekano mkubwa mpiganaji Sepp Blatter asiyetakiwa na mayahudi ya Marekani kushinda...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Licha ya kulitumbukiza shirikisho la Fifa kwenye kashfa ya rushwa. Blatter anaungwa mkono na nchi maskini za Asia, Amerka kusini na Afrika. hii inaashiria nini? Tofauti, nchi tajiri za bara la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
FIFA corruption probe targets 'World Cup of fraud,' IRS chief says CNN)Allegations of corruption at FIFA are nothing new to those who follow the international soccer organization. But what was...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii ni ajabu sana Marekani, Kanada, Australia na sijui kanchi kanaitwa New Zealand wamekataa kumpigia kura kura Sepp Blatter na wameamua kumpa kura Mwarabu ajulikanye kama Ali bin Al Huseni kutoka...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Taarifa hii imetolewa na mwanahabari Omari Katanga kupitia ukurasa wake wa Facebook, pengine kwenye kipindi cha michezo cha EFM tutapata taarifa kwa kina. Kwa sasa habari iliyopo ndio hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kocha wa Madrid atimuliwa kwenye nafasi yake ya ukocha kwa kukosa ubingwa wowote musimu huu
0 Reactions
101 Replies
8K Views
kwa kweli maelezo ya ramadhani singano mesi kuhusu utata wa mkataba wake na simba inasikitisha sana kwanza anaishi kwenye skwata amenyimwa pacent yake kiujumla mkataba viongozi wa simba wamefoji...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Klabu ya Azam FC imefanya mabadliko makubwa ya watendaji na kidogo kwenye mfumo wake wa uongozi, ili kuleta tija na mafanikio kwa haraka klabuni. Utekelezaji wa mabadiliko hayo unaanza mwezi huu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nashangaa timu ya simba inapomsajili mchezaji lazima wasaini kwa bwana mkubwa hans pope ofisini kwake badala ya ofisi ya klabu ya simba kama wanavyofanya timu ya Yanga usajili saini wanasaini...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Penguin mmoja tu ndo anaipa arsenal ushindi ila wengine wote wame-concentrate na bucket la Aston Villa kwamba ndo itashinda na kubeba ndoo ya FA mbele yetu pale wembley. Naomba waseme wamekosea!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kuna imani kuwa namba ya jezi huwa na thamani yake inapovaliwa na mchezaji na hutakiwa kutumikiwa NAMBA 10 messi roben james zidane dinho NAMBA 9 ronardo delima fernando torres(enz...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MANNY PACQUIAO (PACMAN) amefunguliwa mashtaka na watu wawili katika Mahakama ya Wilaya (District Court), Jimbo la Nevada, Marekani kwa kosa la kuwadanganya walionunua tiketi, watazamaji wa kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kocha Carlo Ancelloti ametimuliwa kazi Real Madrid kwa kusemwa kuwa hakupata kombe lolote mwaka huu. Kocha anayepewa nafasi kubwa kumrithi Ancelloti ni Rafael Benitez wa Napoli. Benitez...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ukifatilia baadhi ya wachezaji wanavyolalamika kwa jinsi wanavyofanyia na viongozi wao utasikitika wachezaji wazawa wanalipwa mshahara kidogo malipo ya nyumba ya kuishi wanaahidiwa hawapewi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
tumisikia kauli ya ramadhani singano na maelezo ya bwana mkubwa Zakaria hans pope kuna figisufigisu. kama mnania nzuri kwa wachezaji wa kibongo mwacheni aende anakotaka kama nje au tunasikia...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Nimeamini kweli hakuna urafiki ama uadui wa kudumu,kinachomatter ni maslahi tu,kutokana na skendo ndani ya FIFA, hatimae MICHEL PLATIN anamuunga mkono Prince Alli kesho kwenye uchaguzi wa Raisi wa...
0 Reactions
3 Replies
789 Views
Happening now!! Kwa wale wapenzi wa soka pambano ni kati ya Dnipro vs Sevila na hadi sasa mpira ni mapumziko huku timu zote zikiwa zimefungana 2:2 Karibuni
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…