Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo ndo pazia la ile ligi maarufu duniani (hapa kuna wanaopenda kuita ligi bora) linafungwa rasmi.Hii ndo ligi inayofuatiliwa na watu wengi Tanzania na duniani kwa ujumla. Toka ilipoanza Agosti...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Well, mimi si mshabiki sana wa soka lakini inanibidi niwe mshabiki kwa kuwa Gozi langu linapenda soka. Kwa ubishi tu na si kwa ushabiki wa dhati, siku hiyo mimi nilikuwa nawashangilia Ujerumani...
10 Reactions
108 Replies
10K Views
Trh 16/05/2015, Mkurugenzi wa Ufundi wa Stand United, Kanu alidai wametenga 350m kwa ajili ya usajili msimu huu!! Juzi kaibuka na kudai wapo kwenye mazungumzo ya kumsajili Juma Kaseja kwa dau la...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Guti to Zidane.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Vyanzo vyangu vya habari vimeshikilia kwa nguvu kubwa kuwa Carlo ancelotti ataiongoza Real Madrid kwenye mechi ya mwisho msimu huu wa ligi kuu ambayo ni ya mwisho pia msimu kwa Real Madrid na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Tff Jamal Malinzi,watanzania tulio wengu tulikuwa na matumaini makubwa pale ulipochaguliwa kuongoza taasisi hii ya sok hapa nchini. Lakini hali imeendelea kuwa dhoofu kila kukicha hakuna...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Ambaye anaona kuna la maana alilofanya jamal malinzi tangu aingie tff naomba asaidie kutufaamisha na kutuelimisha...binafsi naona tangu malinzi awe laisi (sio raisi) ofisi za tff zimekuwa jumba la...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
The countdown is nearly over, it is that time of the year when fanatics the world over will be swept away by sheer football mania when Berlin will stage the most enticing footballing spectacle...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wadau tz tunameshapigwa hadi muda huu,hivi kwel huyu kocha anaefundisha timu yetu alipotoka kuja hapa alikuwa kocha au muuza nyanya? Kwasababu timu ni ya kwetu kuna haja ya kwenda kumpokea kwa...
2 Reactions
146 Replies
11K Views
Ni yule Mbelgiji Piet de Mol.Pichani akiwa na kiongozi wa MTIBWA SUGAR Jamal Bayser ofisini kwake leo asbh.
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Iker-Benzema-Kaka-Guti-Benzema.....BOOM!! And the Riazor jinx was no more.
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Tottenham player, Emmanuel Adebayor, has continued to reveal some of his family issues through his usual Facebook page. It would be recalled that the Striker had recently released the part 1 and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
. ••• Amesema hata kama Liverpool watakuwa tayari kumlipa Sterling paundi 900,000 kwa wiki bado hatosaini mchezaji huyo. ••• Amesema Sterling anataka kuondoka timu hiyo. ••• Na atajiunga na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
A MOMENT OF SILENCE... Wednesday, May 18, 1994 was the day that Johan Cruyff's Barcelona - dubbed 'The Dream Team' - were supposed to become immortal. This was a side that had won four...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Nanukuu.. "Naambiwa pale TFF hawazungumzi lugha moja, Martin Nooij anazungumza na watu wawili tu katka ofisi nzima nao ni, Jamal Malinzi na mshauri wake wa masuala ya kiufundi, Peleginius...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Huyu Eddo Kumwembe. Huyu Edo Kumwembe jinsi anavyonikoroga mimi katika makala zake Fulani Fulani ni hivyo hivyo angemkoroga na Advocate Kumwembe, nimeisha muonya mala nyingi lakini mbishi...
5 Reactions
55 Replies
10K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo inashuka dimbani kucheza mchezo wake wa pili dhidi ya timu ya Taifa kutoka Madagascar, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Royal Bafokeng majira ya saa...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Pamoja na kuibeza Yanga kuhusu malipo ya Azam Tv, Simba nao wamestuka kupitia kwa mwenyekiti wao wa kamati ya usajili. Habari kamili fuata link: HANS POPPE ASEMA WAKO TAYARI KUKAA MEZA MOJA NA...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…