Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Confirmed news this morning by EFM that Simon MSUVA is in SA for trials, to follow Nonda Shabaan's path? Msuva ameondoka leo alfajiri lakini uongozi wa Yanga umelalamika kutokana na mchezaji huyo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa mbwembwe nyingi Man U wametangaza kumalizana na PSV kimalipo kuhusu Memphis Depay na kwamba winga huyo atakipiga Oldtrafford msimu utakaoanza , nauliza kwani huyu Memphis Depay ni nani? Ana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jana nilimsikia. dogo ngasa akiagarasmi atokuwa na Yanga amepaatatimu Saazayanga kujipanga kuamin bila ngasa tunaweza
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu siongezi cho chote FIFA congratulates new champs Yanga. By The guardian reporter 7th May 2015 Young Africa. FIFA president...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewaagiza wasimamizi wa vituo vya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuhakikisha sheria na taratibu zote za mechi zinafuatwa. Ligi Kuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo tar.6/5/2015,saa 7:30pm ndo mwisho wa kifurushi chenu cha undugu na yanga cha masaa 24 mlichojiunga jana saa 7:30,Baada ya hapo Tumewarudisha kwa ndugu zenu simba ili muendeleze undugu wenu...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Huyu jamaa kiukweli anaipenda sana yanga, lakini viongozi wa yanga hawakuona umuhimu wa kumthamini wakati akiwapigia magoti wamlipie deni lake crdb bank. sasa kagoma kusain mkataba mpya na ndani...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ligi kuu ya Uhispania La Liga imepigwa marufuku. Hatua hii inafuatia mtafaruku baina ya shirikisho la ligi kuu la Uhispania na serikali ya taifa kuhusiana na ugavi wa mapato ya haki miliki ya...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Huyu mchezaji wa yanga wa zamani aliyewahi kucheza na akina lunyamila yuko wapi siku hizi.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawapongeza watani kwa kuchukua ndoo mwaka huu Mmejitahidi sana kucheza mpira na kutumia wallet kununua mechi Ila niwakumbushe tu kuwa nyie ni wa "HAPAHAPA" tu...Huko mnaenda kupoteza hela za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
HAJI MANARA. "Watanzania wameona kiwango cha Yanga walichoonesha Tunisia ni kiwango cha hali ya juu sana,kwa kiwango kile sioni sababu ya kufungwa na Azam ambayo ni timu mbovu ambayo sisi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Ki ukweli sina hofu kabisa na hawa wachezaji wa Bayern hofu nilionayo ni ukuta wetu nyuma pamoja na kocha wetu wa zamani aliekulia ktk academy yetu,akacheza kuanzia timu za chini hadi kupandishwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Muda si mrefu pambano la ngumi kati ya Flod Mayweather vs Manny Pacquiao limekwisha na mayweather kutawazwa mshindi. Kwenye vijiwe vingi watu wanasema mmarekani kabebwa. Wataalamu wa mchezo huu...
0 Reactions
235 Replies
31K Views
Baada ya kuwaangalia Neymar Jr na Messi nakubali wazungu hawakosei kutuchagulia wachezaji bora wa dunia.Hawa jamaa wabatisha ila wanachagua warembo au sexiest woman duniani hapa wanatuongopea huku...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
A Ghanaian boxer, Braimah Isaac Kamoko also known as Bukom Bukom has said he wants to have a match with Floyd Mayweather. Bukom is also an undefeated champion who won all his 27 fights. The...
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Nimeshangaa kuona huyu ndugu yetu ktk pambano la mei2 amepigana kwa kujihami na muda wote alikua ana kimbia kimbia tu na kuegemea kamba!lakini mwishoni eti kashinda yeye!yaani kama ile mechi ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii ndio siku iliyotabiriwa ambapo mashabiki wote wa simba leo wanaishangilia Yanga na wanakili kuwa hapa bongo hakuna timu ya kumfunga Yanga katika mazingira ya kawaida. Hongereni mashabiki...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
tajiri wa kwanza afrika, aliko dangote, amekiri kuwa bado ana mpango wa kuinunua club ya arsenal licha ya kushindwa kufanya hivyo mwaka 2010. dangote mwenye utajiri wa dola bilioni 15.7...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu DunianI - FIFA, Joseph Blatter ametuma salamau za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi kufuatia klabu ya Young Africans...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…