Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hawa ndio wachezaji wanaoiwakilisa YANGA AFRICA huko TUNISIA MAKIPA Ally mustafa' Barthez Deo munishi Dida MABEKI Pato Ngonyani, Oscar Joshua, Edward Charle Nadir Cannavaro, Juma...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Binafsi nazifahamu hizi Defensive Mids Hawa siku hizi wanacheza kama mabeki au mabeki wanacheza kama viungo wakabaji kwa timu zinazomiliki mpira sana. Mabeki viungo wanajulikana kama ball...
2 Reactions
52 Replies
12K Views
Kuna habari nimekutana nazo facebook kwamba simba wamepewa nafasi ya kushiriki kagame cup badala ya mbeya city kwa kigezo kwamba wao ni wazoefu...habari hizi sijaziona wala kuzisikia kwenye blog...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Hussein machozi katika pozi Muimbaji wa Bongo fleva Hussein Rashid Dodi a.k.a Hussein Machozi, ametangaza kuwa mwakani (2016) huenda ukamuona akiingia uwanjani kuichezea timu ya soka ya Kagera...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
https://youtu.be/CRyzcahfpIc
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Six Blues in Team of the Year NEWS Six Chelsea players have been named in the PFA Premier League Team of the Year. Branislav Ivanovic, John Terry and Gary Cahill make up three-quarters of the...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Boxer Born Dec. 17, 1978 Nationality Filipino Emmanuel “Manny” Pacquiao is a famous Filipino boxer and politician. He is the first and only eight-division world champion. He has won 10 world...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mabondia floyd mayweather'money' na many pacquiao'pacman' wamewasili jijini las vegas hi leo ambapo kuna ukumbi wa MGM litakapofanyika pambano hilo...huku mayweather kama kawaida yake akiwasili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kutokana kumbukumbu zilizopo kwenye Wikipedia, ubingwa wa Tanzania kati ya Simba na Yanga (ukiondoa huu wa mwaka 2015 wa Yanga) inaonyeshwa kama ifuatavyo: 1. Tanzania Bara Simba bingwa mara...
0 Reactions
2 Replies
34K Views
Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini TF, leo hii limepokea maombi toka Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), likiitaka Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo ngazi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo ni leo tusubiri kuthibitishiwa ule usemi ''Mtoto wa nyoka ni nyoka' au mtoto wa nyoka leo atakua mjusi pale ambapo bondia Mohammed Matumla toka Tanzania watazipiga na Wang Xing Hua toka China...
0 Reactions
108 Replies
13K Views
Naama wadau tayar time yetu Dar Young Africa washatangaza ubingwa leo baada ya kumchapa Polisi Morogoro bao 4-1 …………………………………………… ……………^^CHELSEA ^^……………… Bado mshabiki kama mm nina kiu ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama fedha inayoambatana na ubingwa hailingani na fedha inayotumika kwenye usajili,na siku zote bingwa huwa anaishia hatua za mwanzoni kwenye mashindano ya Afrika.Sasa jambo la kujiuliza kipi...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
[2:36pm, 4/29/2015] Amina Gazeti Uhu: Jamani kilichojiri huku ni kwamba mwenyekiti wa yanga Yusuf Manji ameipiga faini ya sh. Billion 3 kwa kosa la kuandika Habari ya uongo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba hali ya kiuchumi si nzuri katika klabu hiyo, kutokana na mapato katika mechi zao kushuka kwa zaidi ya asilimia 50...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Wadau wa mpira wa miguu nimeona tuwe na uzi ambao utajikita katika kuchambua takwimu (match statistics) kwa undani zaidi. Wale ambao michezo wa mpira ni taaluma yao karibuni hapa mtoe utaalam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa washabiki wa mashindano ya Magari( Motorsports) kutakuwa na mchezo huo siku ya tarehe 02/05/2015( Kucheki magari na kupanga orodha) na tarehe 03/05/2015 (Mashindano) mkoani Tanga. See...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Legendary wa bolingo pepe Kalle aliimbia yanga Mwaka 1992 nyimbo ya kuipa hongera ya ubingwa Africa mashariki na kati Je why simba haijawah kupaishwa kabisa hvyo inaonyesha yanga ni timu kubwa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Where Manny Pacquiao got his grit: Contender pictured as a teenage boxer in a Manila gym as he prepares for $300m fight against Floyd Mayweather in Las Vegas Manny Pacquiao will take on Floyd...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aiitaji hata mwanasheria mwone mtu anaitwa jamal malinzi mweleze shida zako ukiona akuna dir nicheki pdidy nimcheki uncle wangu shida iko wapi usikimbizane na magazeti ooh simba naidai..andika...
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…