Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sikulazimishi uyakubali kwakua kuna vilaza hapa wengi ila ukweli ndiyo huo wewe vaa jezy yako tu ya njano na kijani kesho kwa kujiamini kabisa mengine yatakuwa nyogeza By kwa pamoja...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Klabu ya Yanga imeyasema hayo leo. Kimsingi,huo ni mgando wa fikra na hoja. Hakuna sababu za kufanya hivyo. Kuonyweshwa ni kujitangaza zaidi na kuwasaidia watanzania waliombali na Dar kujionea...
1 Reactions
89 Replies
10K Views
NIA YA KUISHABIKIA NINAYO. SABABU YA KUISHABIKIA NINAYO. NA UWEZO WA KUISHABIKIA NINAO. Sasa tufikie wakati tubadirike wakuu. Maana sipungukiwi na kitu kuishabikia Yanga kimataifa wakati...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
THE ARSENAL PHILOSOPHY. A - ATTITUDE To progress to your full potential as a football player it is vital to have the correct attitude both on and off the football pitch. You need to be as positive...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Mimi nimekuwa nawafuatilia saana hawa jamaa kwa mda mrefu katika tasnia ya ndondi . Jee wewe kama mdau wa masuala aya na mkali zaidi ya mwenzake?. Apa tuangalie uwezo wa kwenye ring...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Etoile du Sahel ina mshambuliaji hatari sana ambaye ni raia wa Algeria na ni mshambuliaji pia wa timu ya taifa ya Algeria. Jamaa anatupia kambani kama hana akili, na mwaka jana alikuwa mfungaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Etoile du Sahel ina mshambuliaji hatari sana ambaye ni raia wa Algeria na ni mshambuliaji pia wa timu ya taifa ya Algeria. Jamaa anatupia kambani kama hana akili, na mwaka jana alikuwa mfungaji...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Siku chache tangu aliyekuwa kocha wa muda wa Polisi Morogoro, Amri Said atangaze kubwaga manyanga kuifundisha timu hiyo, imebainika kuwa Yanga ndiyo chanzo. Amri anadaiwa kufanya hivyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau leo hii nilikuwa kijiwe kimoja cha wapenzi wa mpira wa miguu (football) mada iliyokuwa ikijadiliwa ni kuhusu ligi kuu tanzania bara. Kulikuwa na ubishi juu ya ubingwa kwa mshindi wa pili...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Ukifumba macho na kuangalia miezi takribani sita au saba iliyopita unaweza leo hii ukabaki mdomo wazi, kipindi hicho Mtibwa sugar ilikuwa inaongoza ligi ya Tanzania na ndicho kipindi Mecky Mexime...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ina timu 12, zimecheza game 32 mpaka sasa. Navyofahamu Mimi ni kuwa timu zinakuwa na game ya home na away. Kwa mfano Kule EPL timu zipo 20 zinacheza game 38 kila moja. Hivyo hivyo kwa Spain, Italy...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mpira ni mapumziko Azam 0 Mgambo 0 Kadi tatu za njano kwa azam ( Mwaikimba, sure boy na kapombe) FULLTIME: azam 0 mgambo 0. MPIRA NI AMANI MPIRA NI UPENDO NA YANGA NDIO MPIRA WENYEWE
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Naomba maelekezo namna ya kudownload video za mpira youtube kwa urahisi zaidi
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Three-time Champions League winner Roberto Carlos has revealed his dream team of players he has played with and against in the illustrious tournament - and decided to pick himself in defence.
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi ameitakia kila la kheri timu ya Young Africans katika mchezo wake wa jumamosi wa Kombe la Shirikisho barani Afrika (CC) dhidi ya timu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndumbaro huyuhuyu alifungiwa na TFF kujishughulisha na mpira kisa aliongea ukweli juu ya unyonyaji kwa vilabu. Walipomsikia wakamtia pin kama yule mwenyekiti wa wafanyabiashara. Kama haitoshi...
1 Reactions
0 Replies
826 Views
kuna tangazo naliskia clous na sauti ya shafii na utafiti cjui wa Upsouce eti yeye ndo mtangazaji bora kwa vigezo gani jamani mpk awe mtangazaji bora wa michezo? wa kina kitenge,katanga...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mechi hizi kuchezwa muda sawa Jumamosi hii imekaaje?? Arsenal Wenger amelalamika kuhusu hili kwa nini nusu fainali ya FA iwe muda sawa na The big match ya Premier League!!!??? Vipi wadau...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nimesikitishwa sana na kitendo cha mwamuzi wa mechi hiyo kwa kitendo chake cha kumaliza mpira wakati mshambuliaji wa MGAMBO yuko pekeyake mbele ya kipa wa AZAM na uwezekano wa mshambuliaji yule...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mashetani Wekundu Wanaongoza Katika Mbio Za Kuwanasa Nyota Hawa RAHIM STERLING MEMPHIS DEPAY MAT HUMMELS ROBERT FIRMINO IKER GUNDOGAN DANIEL ALVES Souce:DAILY MAIL Kati Ya Hao Yupi Unaona Anafaa...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…