Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Semaji la Dunia Arsene Bucuti kumbe nauli ya kurudi kwao Burudi hana, ametia huruma kwa Rais wa Yanga Eng Hersi na wadau wamchangie ili arudi kwao doh! Aibu tupu:):Agakakskagesh: Semaji la...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Aliyekuwa meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven-Göran Eriksson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Eriksson alitangaza kuwa ana ugonjwa wa saratani usiotibika mnamo Januari...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa mpira unaochezwa na Yanga Ni haki Simba kufurahi kukwepa hii dhahama ya kupigwa mvua walinusurika
13 Reactions
23 Replies
1K Views
KIPA hodari nchini, Juma Kaseja leo amesaini Mkataba wa miaka miwili na klabu ya Yanga SC na kwa Sh, Milioi 40. Kaseja amesainshwa na vigogo wa Usajili wa Yanga, Abdallah Ahmed Bin Kleb na Seif...
3 Reactions
135 Replies
14K Views
Embu tuweke kwanza pembeni rekodi za Simba za hivi karibuni, hivi kuna timu nchi hii ina historia ya kufunga magoli mengi mashindano ya Africa kama Pamba FC? Unakuwaje na kikosi kama ulichonacho...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Klabu ya Chelsea itavaa jersey yenye ujumbe wa visit Zanzibar kwa msimu huu huku Tanganyika ikiwekwa kando kama mtoto asiye na wazazi. Kwa sasa kila jambo linakimbizwa Zanzibar hasa kimataifa ili...
7 Reactions
18 Replies
884 Views
Kiukweli Wanalunyasi tunaona mnakiwasha sana mnajipigia tu leo 3 akija huyu 4 sijui anaefata mnapiga ngapi? Si hatuwaingliii jipigieni hivohivo nyie akikaa vibaya hata Azam pigeni 7😁😁 NB:Ila...
7 Reactions
13 Replies
520 Views
Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba "Watoto wa Mgunda a.k.a...
4 Reactions
21 Replies
964 Views
Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza. Tumeona timu 4 zinashiriki...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Hakuna ubishi juu ya kiwango kizuri kinachooneshwa na aliyekuwa mchezaji wa Yanga Fistok K,Mayele pale Pyramid mpaka sasa Mayele ni top scorer wa timu kitu ambacho kimewashitua baadhi ya timu kama...
3 Reactions
6 Replies
632 Views
Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu. Kuna hili tamasha linafanyika huko. Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival Hili tamasha...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Ex-Arsenal and Liverpool star Alex Oxlade-Chamberlain ‘in talks’ over shock transfer to return to Premier League ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN is reportedly in talks over a shock Premier League return...
1 Reactions
6 Replies
698 Views
Klabu ya Simba Queens yashindwa kufuza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuondolewa hatua ya Nusu fainali kwenye michuano ya CECAFA hatua ya Nusu Fainali baada ya kufungwa na Kenya...
1 Reactions
6 Replies
615 Views
Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya...
2 Reactions
7 Replies
526 Views
Azam FCleo anacheza na APR FCya Rwanda kukata ticket ya 2nd stage ya preliminary round . mechi ya kwanza aggregate azam fc 1 -0 APR FC. penalty ya Blanco. Mechi saa 1 kamili. #TUMEIPATA CODE
7 Reactions
156 Replies
8K Views
Match Day. ⏰ 16:00hrs #nguvumoja# Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Fountain Gates Kinachoanza.
16 Reactions
555 Replies
14K Views
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman akitaja Kikosi kitakachoingia kambini Agosti 28, 2024 kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itakayochezwa Septemba 4...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Raia wa kigeni wanaocheza soka lakulipwa nchini kwanini wananufaika na fedha zetu walipa kodi, kwanini hizo fedha zisiebde kwa watoto wetu wachezaji wa mashuleni umiseta na umitashumta?
4 Reactions
10 Replies
457 Views
Ni vigumu kumshawishi mtu kuwa Simba, Azam, Yanga na Coastal wamefanya usajili msimu huu sio kwaajili ya kucheza na Tabora United kwenye ligi, kwakuwa nafasi zao walizoshika kwenye NBC league...
2 Reactions
24 Replies
928 Views
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), Simba Queens wameshindwa kufua dafu mbele ya Kenya Police Bullets wakikubali kichapo cha...
1 Reactions
0 Replies
290 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…