Yao Ming (born September 12, 1980) is a retiredChinese professional basketball player who played for the Houston Rockets ofthe National Basketball Association (NBA). He was selected to start for...
wadau,leo kuna bonge la mechi kati ya The Flames vs Taifa Stars katika dimba la CCM Kirumba Mwanza.mchezo huo ambao upo katika kalenda ya FIFA utapigwa majira ya saa kumi jioni.nitawaletea kila...
Baraka Kizuguto yupo live STAR TV
Pamoja na kwamba siujui huu mchakato ulivyokwenda lakini kwa maelezo ya Baraka Kizuguto naona hajaweka suala hili vizuri na kuna kitu kipya ameongeza hapa kwamba...
Mwishoni mwa mwaka jana(2014) TFF walitangaza tenda kwa wabunifu mbalimbali kubuni jezi ya timu ya taifa ya Tanzania, hatamae zilitolewa sample mbalimbali TFF kupitia mtandao wao wakataka...
The winner of men's race Geoffrey Kipsang Kamworor from Kenya waves the national flag in the IAAF World Half Marathon Championships 2014 in Copenhagen on March 29, 2014. PHOTO | NIKOLAI LINARES |...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, limetangza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Taifa Stars (Tanzania) dhidi ya The Flames (Malawi) utakaochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba...
Hongera waTanzania, Siku yenu njema!
Kama utamaduni wetu wa kushauriana naomba ushauri kwenu wote; hivi nina mdogo wangu miaka 22 huko Marekani leo ni mwezi wa saba amejikita na kujiunga na...
kitendo chako cha kumlazimisha mwanachama wa simba aitwaye msumali aseme amekwenda kwenye klabu ya yanga kuroga ni kujidhalilisha wewe mwenyewe katika zama hizi bado unaabudu kurogwa mchana kweupe...
Leo Bodi ya Ligi wametangaza Maendeleo ya Ligi kuu Tanzania VPL pamoja Na Kutoa Adhabu kwa Vilabu/Wachezaji waliokiuka Sheria na kanuni Za Mpira Hapa Tanzania.
Katika Kutoa Adhabu Hizo...
Chelsea Football Club is delighted to announce that John Terry has signed a new contract, extending his stay until the end of the 2015/16 campaign.
Since his debut in 1998, the club captain has...
Siku hizi kuna tabia ya ajabu imezuka sijui inetokana na nini asilimia 95 ya posti za watu wa simba zinaizungumzia yanga iwe fb,jf,twitter ,goOgle,vijiweni,redioni,nk,hawaoni ya timu yao wakiamka...
Wadau naomba niulize,
Kwanini Tanzania hatuna digital substitution board kwenye viwanja vyetu vya mpira tatizo ni bei au? Matokeo yake tunatumia vibao vilivyopitwa na wakati wakati mwingine hadi...
For me, Maradona cannot approach pele;
Facts
Pele enabled brazil to win 3 worls cup finals, maradona only one
Looking at available grainy pictures of Pele, overall skill cannot compare with...
Tetesi tulizopokea muda huu ni kwamba REY MYSTERIO amefariki.
Mkuu aliyekufa ni mwingine aliyepata majeraha wakati anapambana na Rey Mysterio
Wrestler Perro Aguayo Jr., aka El Hijo del...
Katika muendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara leo tena pale Taifa mtoto atakuwa hatumwi dukani.
Timu ya JKT RUVU itakuwa inaikaribisha timu ya Wananchi wa Tanzania Dar young African (Yanga) pale...
Tony Pulis calls for referee reviews on day of controversy for officials
West Brom boss Tony Pulis says managers should be able to appeal against decisions after a day of controversy surrounding...
Baada ya kuzinunua ligi kuu za Tanzania Bara (VPL) na Uganda (UPL), Kampuni ya Azam Media, leo imenunua rasmi haki za matangazo ya televisheni ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka la Kenya (FKL...
Nataka nifahamu offside huwa inakuwaje?
Mchezaji anayeshambulia akiwa peke yake kule mbele?
Je asipogusa mpira?
Kuna wengine wanasema ukipigiwa mpira na upo juu ukaunganisha shuti hata ukiwa...
Nimeangalia vizur game ya jana kati ya Man City na Barcelona,
Huyu kijana ni hatari sana, sitaki kuongelea kwenye upande wa ufungaji, Messi anachezesha timu, huu mpira wa kawaida kabisa mbali na...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasili salama leo asubuhi jijini Mwanza, tayari kwa maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa siku ya jumapili Machi 29, 2015 dhidi ya timu ya Taifa...