Msanii Ommy Dimpoz arudishwa 'Airport' nchini Marekani baada ya kutokuwa na kibali cha kufanya show. Habari zilizotufikia zinasema Dimpoz alikataliwa kuingia nchini humo baada kushindwa kufwata...
Mshambuliaji wa PSG Zlatan Ibrahimovic amekashifu vikali tabia ya wachezaji wa Chelsea ya kumzingira refa katika mechi yao ya muondoano katika ligi ya mabingwa ya Ulaya. Akizungumzia tabia hiyo...
(CNN)"This is going to be a test for Serena Williams. We're going to find out what she's made of. How mentally tough she really is." Those were the words of tennis analyst Mary Joe Fernandez in...
napenda niwape pongezi waandishi wa michezo kwa kuchambua vizuri makosa na uchezaji wa mpira wa miguu hasa mechi ya simba na yanga.
kuhusu makapu anayesema alishindwa kucheza anamtindio wa ubongo...
Ni mechi ya kirafiki itakayopigwa leo pale CHAMANZI STADIUM saa 16:00 jioni,
SIMBA S.C vs BATA BULLETS F.C ya MALAWI.
Bata bullets f.c wanatumia mchezo huu kujiandaa na mashindano ya caf...
Kocha mkuu wa klabu ya Polisi Moro SC, Mohamed Rishard Adolp amefungashiwa virago na uongozi wa klabu hiyo kufuatia kile kilichoonekana kuwa timu yao kushindwa kufanya vizuri katika ligi kuu...
James Milner is reported to be worth an estimated $9 million for Manchester City. City assured him a huge five-year, $40 million contract, which worth about $165,000 a week.
Although he has only...
Samahani sana wakuu ila mi ni mmoja wa wale wanaoamini hiyo ligi iko so overrated, so huwa nafurahi sana linapojithibitisha hilo.
Kwa matokeo ya jana it's safe to say no english club has...
Kwa mujibu wa utafiti ulioendeshwa na gazeti la Uhispania la AS, asilimia 32.2 ya mashabiki waReal Madrid wakoradhi kumwona mchezaji bora wa mwaka huu Christiano Ronaldo akiondoka.
Utafiti huo...
Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga goli 1-0, ushindi wa Athletic dhidi ya Real Madrid goli 1-0 na ushindi wa Arsenal dhidi ya Man U goli 2-1 wiki hii kama wewe ni shabiki wa timu hizo zilizofungwa...
Timu za Kiluvya United ya Pwani, Mbao FC ya jijini Mwanza, Mji Njombe kutoka mkoa mpya wa Njombe na Mji Mkuu (CDA) ya Dodoma zimepanda Ligi Daraja la Kwanza (FDL) baada ya kuongoza katika misimamo...
Katika mkutano wao mkuu, kilitokea kioja ambapo watu wazima walitokwa na aibu na kuamua kujidhalilisha hadharani kwa kuamua kupiga magoti na kumlilia YM ili kumuomba agombee tena uenyekiti. Bila...
Wakuu
Manji amefungua mashitaka akimtuhumu Musley kumsukuma mwanaye na kumjeruhi mara tu baada ya mechi ya watani Yanga dhidi ya Simba ambao waliibuka na ushindi wa bao 1-0.
Sasa kituko kipo...
Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far...
ALIYEKUWA kocha wa Ndanda FC, Denis Kitambi ameula kwa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Azam, baada ya kupewa jukumu la kuiongoza timu hiyo.
Habari za uhakika kutoka Azam jana zilisema Kitambi...
Yule mchezaji wa Ruvu Shooting, George Michael, ambaye wiki kadhaa zilizopita alifungiwa na TFF kucheza mechi tatu kwa kosa la kumkaba koo na kumnyanyasa mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, leo...
Bahtez, Kelvin Yondani, Mbuyi Twite, Husein Javu, Dan Mranda, Mrisho Ngasa na Amis Tambwe. Hawa waliichezea timu ya Simba hivo wanafahamika mapungufu yao ndio maana ni rahisi Yanga kufungwa na Simba?