Kutokana na kujitoa mwishoni kuandaa mashindano ya AFCON 2015, shirikisho la soka barani Afrika limeifungia nchi ya Morocco kushiriki mashindano ya AFCON kwa vipindi viwili mfululizo kwa mwaka...
Nimeona kupitia Channel TEN jana na kwenye magazeti kuwa timu bora Ulaya ya FC Barcelona (veterans) itatembelea nchi hii na kuwa na mechi tarehe 28 March mwaka huu. Ni habari ya kufurahisha haswa...
Hii ni first eleven yangu wa Vpl msimu huu ktk duru ya kwanza
1) Said mohamedi (MTIBWA)
2) R.kesi (SIMBA)
3) Kipobile (MBEYA CITY)
4) Isihaka (SIMBA)
5) Cannavaro (YANGA)
6) Mkude...
Wikiendi hii nilikuwa ubanda nikitazama mechi kati ya Yanga na Ndanda, hapo nilipokuwepo televisheni nyingine ilikuwa inarusha mchezo wa Arsenal na Newcastle.
Sikuwa na muda sana na mchezo huo...
Baada ya mchezo kunoga kwa timu ya Yanga katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, waziri Mwigulu Nchemba alilazimika kuinuka kwenye kiti alichokuwa amekaa huku akiwa amevalia shati yenye rangi ya...
The Egyptian authorities have suspended football league matches indefinitely after clashes at a stadium in Cairo left at least 22 people dead.
People were crushed after police fired tear gas at...
Refamsaidizi apigwa na kitu uwanjan akimbilia kati!!Moira ulibaki Dk 10 kuisha wananchi wamevamia uwanja na polisiwameingia kati muda simrefu watatoa maamuzi !!wachezaji waghana wanamkumbatia refa...
Azam Tv toka ligi ya vodacom 2014/2015 ianze hamjawahi kurusha mechi ya Ndanda ambayo wamecheza Umoja Stadium (Mtwara), labda leo nimeona nivema kuliweka hili bayana kulikoni mpaka musirushe hizi...
...Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona hii Habari inayomuhusu mwenyekiti wa Yanga .Yusuph Manji...kutaka kuanzisha mashindano maalumu ya Kupambana na EBOLA...na yeye manji atatoa kiasi cha...
Shirika la utangazaji la Tanzania Tbc1 majanga. Wameacha kuonyesha mashindano ya afcon tangu mwanzoni lakini leo siku ya fainali waamua kurusha game live. Najiuliza kwani walishindwaje kurusha...
Jamal Malinzi na TFF hii . mbona jambo hili umeliangalia na kulifumbia macho? tumeona jinsi ambavyo Yanga wamefanya vitendo hivyo kwenye mechi nyingi sana. ikiwepo hii ya juzi juzi kwenda kutoa...
Wakuu.
Leo kuna mchezo wa kirafiki kati ya Coast union ya Tanga na Simba ya DSM, mpaka
sasa si coast wala simba
ambaye ameliona lango la
mwenzake. Mpira ni pamumziko sasa hivi.
Coast...
wadau wa soka moja kati ya vitu ambavyo naona ligi yetu tanzania inakosa ni walpaper za kutumia kwenye simu au pc. nimeanzisha hii thread kwa muda wangu ambao nipo free nitatengeneza walpaper za...
MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU TANZANIA KAZI IPO NDANI YA MKWAKWANI SIMBA SC VS COASTAL UNION.
Wakati Simba SC imecheza mechi 12 huku ikishinda mechi 3 , droo 7 na kufungwa mechi 2 ipo nafasi ya 8...