___________________________________
mwanzo nilopoona simba inacheza mechi 1 kila baada ya siku 2 na yanga ikikaa wiki nzima yani jumapili mpaka jumapili ndio icheze mechi nikaona ya kwamba...
kwa wale ambao mmefuatilia game za congo drc nadhani kuna vitu vya kujifunza kwa wachezaji wao. kwanza kabisa wanajiamini hawana mapepe pia control imelala karibia wote, mchezaji wa kongo akipata...
Japo ni makala ndefu kidogo, wanamsimbazi wenzangu kipindi tunaendelea kutafakari matekeo ya jana.. nadhani ni vyema pia tukapata mawazo ya mwanachama mwenzetu AGNATIUS OBEL.
Huko Ujerumani kuna...
Soka letu la Bongo liko katika msukosuko mkubwa wa imani za kishirikiana. Mara kwa mara Yanga imekuwa ikitajwa kujihusisha na vitendo vya ushirikina hasa baada ya Kavumbagu (akiwa Yanga)...
kweli africa bado mpira sana kwa mpira wa tunisia na guinea hana tofauti na marefa wa tanzania
pernati waliopata guinea si halali kabisa
nawauliza caf kama timu hamzitaki kucheza si mzijulishe tu
Pana msemo usemao 'mkulima mvivu haishi kulilalamikia jembe kuwa halilimi vizuri'. Nimekuwa najifikiria sana hasa timu ya soka kama Yanga na Simba inaposhindwa katika mechi viongozi, makocha na...
Mashabiki wa mbeya city wamepitia nyumbani kwa mchezaji wa zamani Christopher Alex mjini dodoma wakati wakitoka mwanza na kumjulia hali pamoja na kumpatia kiasi cha shilingi 200,300
Wakuu kama kawaida heshima kwa Tanzania, kijana wetu Thabeet Hashim, sasa hivi anaichezea UN-CONN(Universty Of Connecticut) inapambana na Memphis, angalia kwenye ESPN2 kwa wale wanaoweza,(Hashim...
Hali inayosemekana kuwa timu zetu kongwe za kariakoo jijini dar es salaam kuwa na tabia ya viongozi wa timu hizo kuwapangia makocha wachezaji wa kucheza match, leo hii kupitia kituo cha redio cha...
Naagalia hii mechi kati ya Zambia na Cape verde yaani ni aibu tupu mvua inanyesha na uwanja umejaa maji hata radha ya mpira hamna. Hivi kwa nini mechi isiahirishwe ili kulinda heshima ya Afrika...
Kwa nini timu za africa zinapenda kuajiri makocha wa kizungu? je mpira wa Afrika utaendeleje kama 'waalimu' wanakodishwa maka nenda mwaka rudi?
Keshi told BBC Sport that white coaches are not...
Kikosi cha Yanga kikiwa uwanjani
Dar es Salaam.
Siri ya Yanga kugomea mkataba wa udhamini waAzam TV, inadaiwa ni kutokana na klabu hiyo ya mtaa wa Jangwani kuwa na mazungumzo na Kampuni ya...
hili linatokana na matamko ambayo Yanga mara kadhaa inatoa pale inapokosa ushindi. mara watasema walionewa na mwamuzi. mara watasema uwanja ulikuwa mbovu, mara watasema walilazwa hotel mbaya n.k...
kuna tetesi kuwa mwenyekiti wa usajili wa club ya simba(mikia) fc amepeleka barua TFF ili aweze kuidhinishwa kuwa msemaji wa club hiyo ili aweze kuwa huru zaidi kuongelea mambo yanayoihusu...
awali nilikua mpenzi sana wa Shafih Dauda
sasa amefifia nimebaki wa Bin Zubeiry na Saleh Jembe
Je Kitaifa kuna Blog nyingine kali zaidi?
Kimataifa Naangali sana
Goal.com ama Live Score
kuna...
Hili ni kongamano la kimataifa ambalo hufanyika kwa minajili ya kujadili soka katika mtizamo wa kibiashara. Mwaka huu liifanyika Afrika Kusini katika Uwanja wa Moses Mabhida.
Kama inavyoelezwa...
By Drazen Jorgic
NAIROBI (Reuters) Kenyas Rita Jeptoo, winner of the Boston and Chicago marathons, has been banned from for two years after failing a drugs test, Athletics Kenya (AK) said on...