Jamal Malinzi,
Kuna kitu kidogo sana ambacho uspokiangalia kwenye uongozi wako utamaliza vibaya na kufuta kabisa kistoria yako ya yale ambayo angalau umeyafanya yanayoonekana ni mazuri.
Mpira wa...
nimesikia wanachama wa simba kipindi cha michezo cha redio kuwa kuna mzungu kichaa anavurugana na viongozo wenzake kwenye klabu ya simba huyo mzungu kichaa ni yupi utujuze sisi mashabiki wa simba
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ureno Luis Figo ametoa taarifa za kushitusha baada ya kutangaza kuwania Uraisi wa FIFA.
Nyota huyo wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon, Barcelona, Real...
nimesoma gazeti moja kuwa kuna habari ngasa ameenda afrika kusini kufanya majaribio.
mimi nampa tano lakini uongozi wa yanga unadai kuwa hauna habari eti ikibainika kama kweli itampa adhabu...
Kabla ya MECHI YA SAFRICA NA GHANA AKIWA OFISI ZA SS3 ALIULIZWA UNAONAJE MECHI YA LEO ,AKAJIBU AKUNA TIMUPALE YA KUIFUNGA GHANA,,NA MKISHINDA SAFRICA NIKO NA MASHINE HAPA NANYOA NDEVU NA NYWELE...
kwa utaalamu wangu picha anaedai amis tambwe kuwa alimpiga kibao beki katili ni uongo.kwanza angalia mikono ya tambwe mkono mmoja hauonekani pili wapo sambamba hicho kibao atampigaje beki katili...
Jamani wana michezo, Nakumbuka kulikuwa na mchakato wa ubunifu wa jezi mpya za Taifa Stars, ulioanza November, 2014. Ningependa kujua zoezi hili limeishia wapi hadi sasa January, 2015.
Mimi niko...
wadau karibuni uwanja wa taifa kuona mechi kali tangu mwaka 2015 uingie vijana wa unyamani simba sc watakipiga na kinara wa ligi kuu Azam fc wana lambalamba, vijana wa simba chuo cha soka Tanzania...
Kuhama kwa IBRAHIM MAESTRO kuhamia EF sport itakuwa nipengo kubwa sana clouds fm katika kipindi cha michezo
Maestro alikuwa mchambuzi Wa michezo katika Redio Na TV clouds ambae alifanya kazikubwa...
Mwandishi Mohamed Kuyunga wa gazeti la Michezo la Mwanaspoti la leo tarehe 16 Januari 2015 anadai 'eti pamoja na kuibuka kidedea na ubingwa wa kombe la Mapinduzi, Simba yenye maskani yake Mtaa wa...
1.Alitozwa Dola 400,000 (zaidi ya shilingi 700,000,000 ta kitanzania) kwa kwenda kwenye klabu ya uchi siku moja kabla ya mechi
2. Akiwa kwenye gari aina ya Bently, Januari mwaka 2012, Baloteli...
nawasikitia timu ya yangaafrica uongozi pamoja na mashabiki yasiojua mpira mlimsakama jaja akamua abaki kwao mkaona haitoshi mkaanza kwa maximo.
kocha mwenye taaluma maximo aliwaacha yanga...
Msemaji wa JKT RUVu jana akihojiwa AMESEMA YANGA WANAJAMBO WANALITAFUTA WALA SIO MPIRA MAMBO YA MPIRA YANAISHIA UWANJANI.KUITA TAASISI YA JESHI BOKO HARAMU HAYO NI MAMBO MENGINE...
Huu ni ujinga wa wachezaji wengi wa kitanzania ambao bado hawajafahamu kuwa mpira ni kazi kama kazi nyingne yoyote ile. hawa huwa wanaweka mapenz ya team zao mbele wanasahau siku nazo hazigandi...
Kwanza nawapongeza sana TFF kwa kuamua mechi kuchezwa mwanza.
Pia napongeza sana AZAM TV kwa kutuletea mechi hiyo Live.
BALL BOYS na idadi ya mipira:
Hili tatizo
Nikiangalia ni kwamba mpira...
Leo tarehe 24/01/2015 vpl polisi morogoro vs yanga. utapata kila kitu kutoka uwanja wa Jamhuri morogoro, mkolaj ndo nitahusika kwa kushirikiana na cnjona na makoye matale.
======
======
Matokeo...