kwa mara nyingine Mji wa Mbeya umekuwa busy na shangwe nyingi sana,hii ni kawaida pale zinapokutana timu hizi mbili kutoka jiji la mbeya.Mashabiki wengi sana wanaipa sapoti timu ya Mbeya City na...
Kamanda jm unamengi yakufanya juu yahizi timu za jeshi na polisi,,mwanzoni tuliona si mbaya tukawajumuisha ligi leo hii kama hutochukua hatua za haraka kuna siku utaitwa muhimbili kuchukua maiti...
Mechi Inayoanza ni Kati ya Mtibwa na JKU (10;00 Jioni) na itafuatiwa na Simba VS Polisi Zenji (2.15 Usiku)
Kwa kuwa leo ni weekend , natarajia Updates toka kona mbalimbali za wana JF wakiongozwa...
Kwa nini yanga isiifunge polisi?
==============================
ikiwa baraza la waamuzi limemfungia mwamuzi aliyechezesha mechi kati ya yanga na jkt ya masau bwire kwa shinikizo la yanga je...
Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya mkurugenzi mpya imeamua kuichukua timu ya AFC ambayo kwa sasa iko ligi daraja la pili.Manispaa ya jiji imeamua kuichukua timu hiyo iliyokuwa ikiwakilisha...
huyu alioingia ktk urais ilisemekana ni mpenz wa michezo.tujiulize baada ya miaka 10 ametuachia nini wanamichezo?angalau b.mkapa alituachia uwanja. kikwete kaua basketball ambayo ilisemekana...
Baada Ya TFF Kumfungia refarii aliyechezesha mechi ya yanga na Ruvu
Mechi Ya JUMAMOSI Dhidi Ya Polisi nategemea yafuatayo
1.Mchezaji wa Polisi lazima apewe kadi nyekundu
2.Refa atachezesha...
Kuwalinganisha wasemaji wa klabu Masau Bwire wa Ruvu Shooting na Thobias Kifaru wa Mtibwa Sugar kwamba wana tabia zinazofanana si kumtendea haki Kifaru. Huyu jamaa wa Mtibwa mara nyingi nimemsikia...
Tom Brady struggled to bring some perspective on Thursday to the absurdist football drama known as Deflate-Gate.
"This isn't ISIS," he said. "No one's dying."
But Brady, the celebrity...
Huyu mwandishi amenifurahisha sana kwa namna alivyomuelezea Jose Morinho. Hii ni sehemu ya uchambuzi wake:
That is great, except Mourinho does not really do harmony. He is at his best when he has...
Channel gani inaonyesha mchezoo huu wakuu...!
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars Maboresho) inashuka kwenye dimba la CCM KIRUMBA Mwanza kuvaana na timu ya Taifa ya Rwanda Amavubi) kuanzia...
Ukipita mitaa mbali mbalimbali yenye matawi ya simba utakuta vijana kwa wazee wametulia wakisubiri ushindi wa leo dhid ya mtibwa.
Simba imetimia na kutulia sawasawa kiwango kipo juu na hii...
kuna habari ambazo kuna kiongozi wa juu wa simba anamtumia mchezaji wa zamani wa simba kuihujumu yanga kwa njia mbalimbali mchezoni amepewa na gari kwa kazi hiyo kumfuata refa popote tanzania...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limefanyia marekebisho kanuni zake za michuano ya ngazi ya klabu kwa upande wa malazi ambapo sasa timu zitachagua na kujilipia zenyewe hoteli zinapokuwa...
Yanga vs ruvu shooting uwanja wa taifa dar. Ndanda fc ya mtwara vs Simba ya dar uwanja wa Nangwanda hapa mkoani mtwara, kutoka hapa Nangwanda mtakuwa nami reporter wenu mkolaj, na huko taifa...
Haruna Chanongo (Alipokuwa Simba)
Mshambuliaji Haruna Chanongo wa Stand United amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya sh. 500,000 kwa kumpiga teke mwamuzi wa mechi dhidi ya Polisi Morogoro...
Hivi kweli kwa mpira huu unaochezwa hapa kwenye LIGI KUU TZ, je tutaweza kupiga hatua kimataifa japo hata angalau siku moja tukaweza kushiriki WORLD CUP?