Tunaona mmetenga muda was kuongea tuu AFCON huku mkiangalia peke yenu kana kwamba Sisi hatupendi kuoneshwa,mbona mnafanya hivyo lakini?
Mwaka Jana mlishindwa kurusha w.cup,EPL,uefa na sasa afcon...
KLABU ya Arsenal leo imeanza mazungumzo rasmi na makampuni 20 ya hapa nchini kwa lengo la kufungua mahusiano ya kibiashara lakini katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota...
Loh kweli leo mmeaga emirates, mlichomfanyia babu yetu hatokaa asahauuuu bila kuwasahauuuu kwa kuwapa pole wenzanguu wa Betttttttttttttttt. Eeehhhhhhhhhh. Najuaaaaaa yanawashuka. Mngekuja...
Iran's footballers have been warned they could face punishment if they take "selfie" pictures with female fans who have turned out in large numbers at the Asian Cup.
The head of the Iranian...
Katika ulimwengu wa sasa wa sayansi na Teknolojia Matumizi ya internet yamekuwa kwa kasi
Tunatarajia TFF iweze kutumia website yake kama chanzo kikuu cha taarifa
Sasa ukienda huko kwa website...
Pamoja na kuwahi kuishi katika nchi ya tofauti na Tanzania,ninaamini nchi yetu hii ni moja kati ya nchi zinazoongoza kwa kutofuatwa kwa maadili ya utendaji kazi hususani katika tasnia ya uandishi...
Huwa nalipa kika mwezi Dstv compact + shida yangu ni football ⚽. Mwezi huu nimegoma kabisa maana tulianza na 75 elf na sasa inakaribia laki moja
Then nikapata wazo LIVE STREAMING...
Kufuatia sare ya mabao 2-2 dhidi ya Atletico Madrid hapo jana,Real Madrid imevuliwa rasmi ubingwa wa Copa del Rey kwa jumla ya mabao 4-2.Mechi ya kwanza ilishuhudia Atletico Madrid ikishinda mabao...
timu ya yanga naona mafundi wazuri wa kuchonga droo naona droo ya pili bado droo mbili ndio ataanza kufiliria kutengeneza kabati yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jamani wana JF na wapenda soka, Januari 22 mwaka huu kuna mechi kali ya timu ya Taifa letu, Taifa Stars na Timu ya Taifa la Rwanda, Amavubi. Mtanange huu utafanyikia Uwanja wa CCM Kirumba jijini...
kutokana na hali ya kimashindano na maandalizi ya ligi kuu kuzidi kuwa ngumu na mwisho kuambulia pesa kidogo za mshindi wa kwanza wa Ligi kuu ya Tanzania Bara Simba ni bora ikawa inashiriki kombe...
Mpendwa jm tumsifu yesu le kristo,,find attached pics nasoma mwananchi leo najiuliza hozi timuzapolisi zinaachalini kupiga waamuzi,,pili sheria zinasemaje niliona yanga waliadhibiwa vilivyo lakini...
Real Madrid attacker Cristiano Ronaldo has been named the best Portuguese player of all time by the Portuguese Football Federation (FPF), ahead of Eusebio and Luis Figo.
The 29-year-old was...
Tokea bonanza la Mapinduzi Cup lianze ni kama ligi kuu ya Tanganyika imesimama kwa kufuatilia kupitia Azam TV, ila utaisikia tu kupitia media nyingine ilhali pana mkataba wa kuonesha mechi hizo...