Manara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi...
Hamjambo wakuu nimeskia ligi kuu ya tz ina mvuto wa mpira ajabu wao unapendeza na umeekezwa sana mno si kama ligi kuu yetu ya kenya(KPL) haina mvuto nataka kuanza kuishabikia timu za Tz nimeskia...
Hovyoooooooooooooooooo....................................!!!!!
Ahmedy Ally bado mechi 29 tuwe mabingwa.
"Tumekaa kwenye kilele sasa bado mechi ishirini na tisa hatutashuka hapo inshallah, Simba...
Ukiangalia jinsi matches hizi za mwanzo za Simba zilivyopanga unaona kabisa zilipilangwa kimkakati ili kuwapa urahisi wa ushindi na kuwapunguzia pressure kwa mashabiki na wanachama wao...
Mlinzi wa klabu ya Coastal union na timu ya taifa ya Tanzania ameanza mazoezi rasmi katika klabu yake kuelekea mchezo wa ligi kuu NBC dhidi ya Jkt Tanzania Septemba 25 mwaka huu.
Lameck Lawi...
Kocha Mkuu wa Uhamiaji Ali Bakari amefunguka yote timu yake kwenda kucheza michezo yote miwili dhidi ya Al Ahli Tripoli huku nchini Libya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
Hii timu hii inagawa tu doze huko Ethiopia kwenye mashindano ya CECAFA Women. Zilianza 5,leo 3.
Kila la kheri na hongereni kwa kuipeperusha vema Nembo ya Simba.
Soma Pia:Full Time: Simba Queens...
Nikiangalia taarifa za usajili wa timu mbalimbali naona wachezaji watatu wa Simba wa msimu uliopita wamesajiliwa ligi ya Algeria, ligi ya 3 kwa ubora Africa, wawili kati yao katika timu yenye...
"Aish kukaa nje hakulisaidii taifa, kuna michuano mikubwa inakuja kumuweka Aish kikosi B sio vizuri, Aish anaitaji kua langoni sio kwa maslahi yake bali kwamaslahi ya taifa. wakati mwingine taifa...
Wakuu kwani mashindano ya olimpic yameisha? Kulikuwa na nyuzi tele humu za kuwafagilia watanzania walioenda kwenye mashindano. Mlikua mna mbwembwe wakati mnaenda ila sasa hivi kimyaaa 😂😂
Pia...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuiondoa Mahakamani kesi ya Madai Namba 14708 ya 2024 iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi...
Kwako kocha mkuu wa Simba, msauzi Fadlu David
Natamani Sana kuona kiungo Bora mzawa Yusuf kagoma anapata muda wa kucheza Simba, kutompa nafasi ya kutosha ni kumkosea mchezaji na kipaji chake...
Nadhani CAF inatakiwa kufanya review katika baadhi ya mambo yake . Hii ni taswira ya kibaguzi. Pia na suala la timu kubwa kuanzia ugenini nao huu ni utaratibu wa hovyoo sana.
Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu.
Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya...
Habari za ijumaa wapenzi na mashabiki wa soka nchini Tanzania pamoja na afrika mashariki.
Ikiwa yamepita masaa machache toka kutambulishwa kwa mchezaji aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu na mashabiki...
Meneja wa habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika
"Pamoja na kushinda dhidi ya Tabora United lakini ukweli ni kuwa tunahitaji kuwapa muda zaidi...
Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao...