Tuanze kuigusa SIMBA SPORTS CLUB ambayo ilipitia historia mbaya iliandikwa mwaka 1987, na mwaka 1988 pia mwaka 1989 kwani katika miaka hii mitatu Simba iliponea chupuchupu kuteremka Daraja kutoka...
Simba umeshindwa kesi ya Awesu. Hairuhusiwi team kuongea na mchezaji kabla miezi 6 kwenye mkataba wake lakini Simba walifanya hivo
Simba walimrubuni Awesu na kumtorosha Awesu. Simba walimpeleka...
Unajigamba wewe ni shabiki kindakindaki wa soka ila nikikuuliza origin ya ushangiliaji huu hata haujui.
Kongore kwa Valentino Mashaka na Che Malone kwa kurudisha ushangiliaji huu classic...
Mna timu nzuri kuliko timu yoyote hapa Afrika, mna kocha mzuri na mwenye sifa, mna management nzuri, mna utajiri wa kutosha, mna uwanja mzuri, kusema kweli mna kila mtu.
Mnaweza kufukuza kocha...
Mwanariadha Alphonce Simbu alipotua Nchini akitokea Ufaransa alihojiwa na hii ni sehemu ya maelezo yake kuhusu sababu za yeye kutofanya vizuri na kushinda Medali kwenye Michezo ya Olimpiki 2024...
Simba na Al Ahly zimetolewa kwenye mashindano ya African Football League (AFL) bila kushinda mechi hata moja. Baada ya Simba kushindwa kuifunga Al Ahly hata baada ya kutangulia kuifunga, mchambuzi...
Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo.
Kwa...
Nimemskia mwanariadha wetu Felix Simbu Clouds Fm akisema alikuwa haijui njia vizuri alikuwa anakimbia tu kuwafuata wengine na akafanikiwa kumaliza nafasi ya 17 kwenye Marathon.
Huyu jamaa siyo...
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc...
Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni :
Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia)
Kenya Police...
Match Day
Vital'O FC vs Yanga SC
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
#Daimambelenyumamwiko#
Updates...
Mpira umeanza Timu bado zinasomana.
Dk 05
Dubeeeeeeeee anaipàtia Yanga goal lakuongoza...
Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu.
Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia...
These five players stand out as exceptional contributors to the team:
1. Onana : The Maestro of Footwork
- Onana's nimble footwork on the field is a sight to behold. His dribbling skills...
1.Awesu Awesu fundi wa mpira
2.Awesu Awesu Fundi wa mpira
3.Awesu Awesu Fundi wa mpira
4.Awesu Awesu fundi wa mpira
5.Jeans Charles Ahoua anamfanya Mukwala aonekane nyoka wa kibisa, nafasi yake...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA...
Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua
Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu...
S500 TV baada ya kuhangaikia sana kupata maudhui yanayovutia kituo chake sasa hivi imepata bingo kwa Mzee magoma. Ni kituo pekee kinachohangaika sana na Magoma kila siku siku hizi Wanapata rizki...
Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe .
🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign:
➡️ Semi-automated offsides will be introduced...
"Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe tunataka kuupeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Tutatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja...
Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi...