Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.
Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.
Timu ya JKU...
Mbona mashindano yaliyojizolea umaarufu Africa yajulikanayo kama African Football League (AFL )hayatangazwi mpaka sasa? Inamaana baada yakumuonesha mwaka jana msimu huu wamefuta ?
Hii team Hakika Rage alikuwa nabii kuwaita mbumbumbu
Matatizo ya team Yao hawayaoni, hawahoji chochote eanajidanganya eti ni team namba 6 Africa 😆
Simba wanadanganywa na nafasi waliopanda kwa...
Leo kuna jambo nitalisema kwa sababu nimelitafakari muda mrefu hasa baada ya msimu uliopita kuisha.
Katika msimu wa 2022-23, msimu wa mwisho wa Che Malone Fondoh akiwa na Coton Sport ya...
Inasikitisha sana kuona hatuna medali hata moja ya dhahabu taifa lote hili.
Hebu fikiria jinsi vijana wanavyoshinda gym kila siku.Fikiria uwekezaji huo hivi ni kwa ajili ya ngono tu?Ijapo hata...
Maoni, serikali iruhusu halmashauri za wilaya, manispaa au jiji kama zinajiweza basi zijenge viwanja vya mpira ili kuendelea kukuza vipaji vya soka na kuendelea kutusahaulisha shida nyingine za...
Namkumbuka huyu Mzee wa Simba jinsi alivyokuwa na hasira na Yanga hadi muda wote yeye yupo mitandaoni kuikashifu Yanga.
Ni kama Feisal Salum jinsi alivyo na hasira na Yanga. Muda wote anawaza...
Matajiri wa Chamanzi wamepata code za mechi za KIMATAIFA, watakiwasha na mabingwa APR ya Rwanda kwenye CAFCL Preliminary Round.
Azam FC wanakikosi EXPENSIVE Africa Mashabiki na Kati.
#TUMEIPATA CODE
Azam wana timu nzuri lkn hawana uwezo wa kuitoa APR mashindano, issue sio kocha ishu iko katika menejimenti.
Nna uhakika this time Dabo anakwenda na maji.
Kama akiondolewa na APR and this is no...
1. Team nyingi shiriki zinatoka nchi ndogo kisoka kama Chad, Somalia, Sudan,Sheli Sheli
2. Hakuna sheria za offside, mchezaji akizidi haina tatizo
3. Ni mashindano mara nyingi yanafautiliwa na...
Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have...
Mjumbe hauwawi. Nimeikuta sehemu wadau wa Tabora UTD wakiilalamikia TFF kuwa wamekuwa wakichelewesha leseni za wachezaji hasa wa kigeni kwa makusudi kwa maslahi yao.
Hili limeikumba Tabora UTD...
I couldn't watch the match between Singida Big Stars and Ken Gold due to the surroundings of the pitch. The environment is so bad that it's unwatchable.
What does TFF do with the money they earn...
Wanasimba hongereni kwa Tamasha zuri mmeujaza uwanja wa Mkapa yani ni full House najua Mnafuraha sanaa Kwa kuiona Timu yenu ikipata matokeo kwenye siku ya “simba dei”.
Ubaya ubwela unaufanya...
Salaam alaikum wakuu
Baada ya kushuhudia soka safi la Caf Champions Ligi mechi Bora sana za kiume ambazo mpinzani anapigwa goli nne. Lakini bado anapambana kuliko makolo nimejikuta najiuliza...