Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea...
Nimepata idea ya kutengeneza game la mpira ambalo litakuwa na leagues za tz tu na pia commentator atakuwa anaongea kiswahili na pia viwanja vitakuwa vya Tz.Je nauliza kama kuna sheria ambazo...
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea...
Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14.
Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916
Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024.
argentina na Uruguay ndiyo...
Emmanuel Wanyonyi (20) ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwenye Olimpiki za Paris Agosti 10, 2024. Inadaiwa ndio Mshindi mwenye umri mdogo zaidi kushinda katika mbio za mita 800...
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Hadhi ya Wachezaji, wachezaji watatu wa Simba wamewekewa Pingamizi na vilabu tofauti.
Yusuph Kagoma, Awesu Awesu na Valentino.
Pingamizi la Kagoma ni Yanga...
Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile.
Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji...
Waziri Ndumbaro hafai popote huku kwenye michezo ndo hafai hafai kabisa analeta migogoro na anazidi kuharibu...
Juzi watanzania waliona kilichotokea kwenye boxing....Ugomvi wa kibishara WA...
Kama kuna kitu kinaudhi nchi hii ni namna mambo yanavyofanyka kiajabuajabu ukiachikia mbali yale mataifa yanayotuzidi sana kiuchumi hata hawq jirani zetu unagundua wako serious sana na mambo yao...
Naandika nikijua wasio na ABC ya sheria wanitupia mishale lakini sijali. Lakini Kwa mara ya Kwanza tunashuhudia Migogoro ya usajili ya mwaka 1994 ikirejea 2024 Kwa timu ya Simba kuwa na...
Huyu dada ni balaa.
Kipaji kikiwa "fully utilised" haya ndiyo matokeo yake.
3 time Olympic Champion
3 time world Champion
Commonwealth Champion
African Champion
World Record holder
Olympic...
TETESI, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji FISTON MAYELE anaweza kutambulishwa ndani ya klabu ya Simba SC,
✍️Hii ni baada ya Kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids, kuomba aongezewe mshambuliaji...
Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga.
kwahiyo Chama msimu ujao...
Kuna hii tabia iliyopo kwenye boxing, huku kwenye boxing watu watakushabikia ukiwa unashinda tu, ukipigwa imekula kwako.
Kwenye boxing shinda hata mapambano 100, ila kaa ukijua siku...
Mchezo wa Ngao ya Jamii kutafuta mshindi wa tatu mchezo unachezwa uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Coastal Union dhidi ya Simba SC.
Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi kubwa sana.
Dakika 5, Simba...