Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally
Tunawaomba match yeny...
Mara ooh, timu imeimarika tofauti na mwanzo. Ooh, timu ina wiki nne na ikifikisha miezi itakuwa tishio. Ooh, Aziz Ki hajatembea kwenye mikimbio yake.
Jamani, ya nini kujieleza na maelezo mengi...
Wadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na...
[emoji599]KAULI ZA WANA SIMBA BAADA YA MECHI :
1. Timu tunayo ni suala la muda tu
2. Kocha tunaye ila mukwala apunguze mikimbio
3. Mbona hamjatufunga tano
4. Azam anachukua hili kombe
5...
Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football.
SSC...
LEO, saa 3:30 asubuhi sehemu ya wanariadha watakaokimbia katika Olympics wamo Watanzania pia Alphonce Felix Simbu na Gabriel Gerald Geay
Mashindano haya Olympic yanaruka mbashara kupitia #ZBC2...
Tukiwa taifa mwenyeji wa mashindano yajayo ya AFCON nilitegemea maandalizi makubwa sana katika mashindano haya ya Olimpic niliona kwenye vyombo vya habari kwamba Waziri wetu wa michezo aliambatana...
Honorable Minister, we would like to put it in your attention existence of the following facts;
1. That, since 2002 Tanzania Olympic Committee’s current top leadership has been in power...
1. Simba SC vs Coastal Union:
Predictive score:
Simba SC 3 - 0 Coastal Union
Simba SC is expected to win comfortably with a strong performance.
2. Yanga SC vs Azam FC:
Predictive...
Mwanamieleka wa Cuba, Mijaín López Núñez, amekuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medali tano za dhahabu mfululizo katika Michezo ya Olimpiki.
Baada ya kushinda kwa pointi 6-0 katika mieleka ya...
Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na Ngoma Tu, Halafu Kazi Imeisha
Kama umeangalia mpira sina cha kuongeza, nawakilisha kama ilivyo hapo juu.
Soma Pia: Usajili wa Freddy...
Nimeangalia mechi ya man city vs man utd kiukweli hatujapata burudani ya kutosha kutokana na kwamba kuna baadhi ya wachezaji ambao walitumikia timu zao za taifa hawakuwepo kwa sababu ya...
Kwenye mbio za marathon kidunia huyu Eliud Kipchoge ndio GOAT anacho kila kitu anazo dhahabu,mshaba na fedha
Sio Olympic, commonwealth na kadhalika kote amepita na umri umemtupa mkono , kitendo...
Wale wafuatiliaji wa Epl leo tar 10/8/2024 ndio ufunguzi wa ligi inayo anza tr 16/8/2024 .
Uwanja: Wembley
Mechi ishaanza
HT :Man city 0-0 Man united
0-1 Garnacho dk 82
1-1 Bernado dk 89
FT...
... 💰💸
Viingilio fainali ya Ngao ya jamii :
◉ 30,000 ›› VIP (A)
◉ 10,000 ›› VIP (B)
◉ 10,000 ›› VIP (C)
◉ Mzunguko ›› 5,000.
ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko...
Nafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na...