Wapendwa wangu
simba timu yangu ushindi jadi yetu..naomba tuache usimba na uyanga tushabikie timuyetu
ukweli halisi kama mtaacha wachezaji maarufu kubaki uwanjani huku wakiwa awafanyi la maana...
Yule mchezaji bora wa zamani, Ronaldo De Asis Moreira, ajulikanaye zaidi kwa jina la Ronaldinho Gaucho amesikika akimbembeleza kocha mpya wa Selecao, yaani Brazili, ampe namba katika kikosi cha...
Wakuu February 26, 2012 ndio game na starter wameshatajwa....kama kawa Dwight Howard kaongoza kura kwa Eastern Conference na Kobe kaongoza kwa Western Conference......
East – Derrick Rose...
hatimaye yanga yakamilisha ratiba ya michuano ya club bingwa africa,kama kawaida ya timu zetu,huwa hazina jipya kwenye michuano ya kimataifa.chuji alitolewa kwa kadi nyekundu,na zamaleck walikosa...
mpaka dk hii zamalek inaongoza kwa bao 1,dhidi ya yanga.bao limefungwa na mido.katibu wa yanga anasema eti ilikuwa off side!refa akaacha tu!source.times fm.kipindi cha kwanza ndio kinakwenda ukingoni
mi ni mshabiki wa manchester!ilikuwa mechi kati man utd na chelsea!david luiz alitufunga bonge la goli mpaka japo umefungwa lakini unafurahia goli!je wewe siku gani timu yako ilifungwa goli zuri...
Kwa wale wapenzi wa soka ambao hawataweze kufika kwenye uwanja wa taifa siku ya jumapili basi waweza kutune Star tv kwani watakuwa wanafanya coverage ya mechi hiyo LIVE.
Habari hii nimeipata...
Hivi tatizo lenu nini? ulimbukeni au ndio bendera kufata upepo?? Nimesikia leo asubuhi RFA eti mashabiki wa soka Dar waliamua kuandamana kushinikiza kocha wa timu ya Taifa ajiuzuru atafutwe kocha...
Wandugu,
Naikumbuka sana Pistons ya 2003-2004, enzi hizo kuna kina Teshawn Prince, Ben Wallace, Rasheed Wallace, Chauncey Billups Nk ilikuwa ni balaa full kutupa raha washabiki. Hebu tukumbushane...
Hello JF members
Tarehe 26/2/2012 ni siku nyingine dunia itahamia hapa Kilimanjaro hususani Moshi mjini. Karibuni sana kwenye mashindano haya ambayo yanafanyika kwa mara ya 10 sasa. Inaweza kuwa...
Kwa upande mmoja naona Stuart amefanya chaguo sahihi hasa kutokana na nafasi anayo chezea "combative midfielder" pamoja na kwamba ataongoza timu yenye wazoefu wengi na inayofuatiliwa sana na...
Video: Kobe Bryant passes Michael Jordans All-Star record
Los Angeles Lakers superstar Kobe Bryant has played in 14 All-Star games in his career, enough to put him at third place (in a tie) on...