baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na...
ivi kweli gadiola ndo kamshindwa morinyo? inaonekana sasa bacelona inatoka kwenye mbio zakuusaka ubingwa wa hispania hawezekani uachwe point 3 mpaka zinafika kumi. hii ni aibu kwa kocha kama...
'' Mara tu baada ya mazoezi kabla ya timu kuelekea nchini Panama,kocha mkuu wa Sounders bwana Sigi Schmid aliniita na kufanya naye mazungumzo ya takribani dakika kama 20 hivi,kimsingi alikuwa...
Mechi kati ya taifa stars na DRC inakaribia kuanza hapa uwanja wa Taifa. Nitakuleteeni live up date. Nyimbo za taifa ndo zinzpigwa na sasa wimbo wa tanzania unapigwa baada ya ule wa Congo
Miaka ya 80 ndipo Africa ilipoanza kuvuma ktk ulimwengu wa soka hasa pale FIFA world cup ya 1982 ambapo Algeria na Comeroun ziliwakilisha Africa. Cameroun, ingawa ilitolewa mapema, haikupoteza...
kuna taarifa kwamba yule mwanadada wa twiga starts SOFIA MWASIKILI ameshindwa kucheza mpira Uturuki kisa eti ftt imemnyima itc,mwenye taarifa kamili afunguke hapa.
hongereni sana kwa kuwa na vifaa vya kutosha na vya kisasa(camera)za kuonyeshea mpira live,hususani kama huu wa leo wa taifa stars na congo drc,picha zilikuwa safi,utadhani super sport!sio wale...
Baada ya kusikia matangazo meengi ktk mechi iliyopita kati ya Yanga na Zamalek yanatangazwa na wapiga hela nikajua tushaumia. Hiv umati wote ule na hela tuliyotangaziwa vinaendana kweli...!
Wana JF.
Nimekuwa nikijiuliza sana kwini kuna tatizo gani kwa huyu bwana mdogo toka aingie NBA mwaka 2009 alikuwa 2nd pick overall na Memphis Grizzlies na sasa yuko Houston Rockets performance...
mapato ya mechi ya yanga na zamaleki, yametangazwa kuni ni milion 280!!huku wadau wengi wakipata wasiwasi na kiasi hicho kutokana na kampuni ya prime time promotion kusimamia pambano hilo na...
chelsea yapata kipigo toka kwa napol,ktk michuano ya kombe la uefa.kwa timu hii hata wafanyeje,inaonekana kama kuna mgomo baridi hivi,yaani wachezaji hawajitumi kabisa!nadhani kocha wa chelsea...
For those true boxing fans, we talked about this in 2010, it seems Pacman is now facing a "reality bite"
Manny Pacquiao insists he'll fight Floyd Mayweather but offer was financially unacceptable...
Nadhani kwa mliowahi uwanjani siku ya mechi ya Yanga na Zamalek mlijionea miongoni mwa vituko ni yule babu aliyevalia American Suti (kwa muonekano alikua mithili ya mjumbe wa KAMATI YA UFUNDI)...