NEW YORK: Jeremy Lin came with an intriguing story even before he escaped the New York Knicks' bench.
First American-born NBA player of Chinese or Taiwanese descent.
Harvard graduate...
BREAKING NEWZ: Kutoka Uwanja wa Taifa. Mashabiki wa Ndala a.k.a Malapa wameenda kukaa jukwaa la Wekundu Simba Taifa kubwa na hawataki kutoka na wanaleta Vurugu huku wakiacha upande wao ukiwa...
Vurugu kubwa zimeripotiwa mara baada ya mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Coastal Union na Ruvu Shooting.Katika vurumai hiyo,Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting,Charles Boniface Mkwassa amepokea...
Nimesoma habari za michezo mtanadoni naona kuna boing mzimbabwe leo anapambana na Klitschko.
Since kuondoka kwa Tyson boxing imekuwa haina msisimko mkubwa tena kama ule wa zamani watu...
Mabao mawili ya Karim Benzema,moja la Cristiano Ronaldo na lile la Angel Di Maria yalitosha kuipa ushindi wa 4-1 timu ya Real Madrid dhidi ya Racing Santander na kuifanya iendelee kuongoza ligi ya...
Great performance my boy Chisora. you exposed Vitali big time. He is on the decline and you are on your way up. Keep working hard. you've got a big opportunity if you stay focussed...
Chisora has the tools to upset Klitschko
Dereck Chisora is a huge underdog against Vitali Klitschko, but he's still confident he can upset the odds
Preparing for an upset...
Wakuu mapambano ya awali nda yanaanza sasa hv then baadae tuone mrusi na muingereza nani zaidi maana walizozana sana wakati wanapima uzitoi hawa jamaa juzi!
Hawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue...
wananchi na wana JF kwa ujumla
Kuna mechi muhimu sana inaendelea katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam na mpaka sasa yanga iko mbele kwa bao moja bila.hii ni mechi ya kutafuta klabu...
Ndugu zangu tuweke pembeni tofauti zetu. Mafanikio ya klabu yoyote ni sifa kwa taifa, japokuwa kwa upande fulani itakupain. Tuweke tofauti zetu kwenye vodacom ligi. Mungu zibariki simba na yanga...
Leo ni zile mechi za kimataifa ambazo zitazechwa na vigogo vyetu vya soka hapa nchini Tanzania. Yanga itakuwa nyumbani kucheza na Zamalek ya Misri katika kombe la Klabu Bingwa wakati simba itakuwa...
Jangwani wananishangaza sana na staili yao ya kushangilia ,kuna uhusiano gani kati ya Jangwani na CCM?
heri mimi nitabaki kuwa mshabiki wa Manyema United ...
:lol:
hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo...