Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Zambia wamefanya jambo ambalo limewashitusha wengi. Wengi walisema kama siyo Ivory Coast basi itakuwa Ghana. Mambo yamekuwa kinyume kabisa. Leo ule usemi usemao umdhaniaye ndiye siye umetimizwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ama kwa hakika ushindi ni mtamu sana,wale wenye mapenzi ya dhati na si ya dharura kama wakati una nafasi ya kuangalia hiyo tv. Kuna viwanja zambia wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ligi imenoga wapendwa, Azam yuko pointi mbili nyuma ya vinara, Simba, wakiwa na michezo sawa. Yanga Afrika yuko nafasi ya tatu, akiwa na pointi 31, moja nyuma ya Azam, lakini akiwa na faida ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nadhani wachezaji wa kiafrika wangewekeza juhudi zao katika soka kama wanavyokuwa busy na nywele na mapambo mengine usoni kama hereni na kujipaka rangi chini ya macho (Salomon Kalou), tungepata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Gettyimages Zambia coach Herve Renard has likened himself to Real Madrid coach Jose Mourinho, boasting that he is the chosen one. The Frenchman has every reason to be a happy man after having...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ukitaka kuukata na kuuangusha mbuyu usianze kufikiria unene wake. Jana usiku jirani zetu Zambia wameafanya maajabu ya soka. Vijana wa Chipolopolo wamatwaa ubingwa wa Afrika kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Forget Plan B, the world wants Mayweather v Pacquiao Mayweather and Pacquiao are both in action soon, but frustratingly not against each other, writes boxing legend Barry McGuigan...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Impressed Tanzanian gives Zambia national soccer team cash February 8, 2012 | Filed under: Breaking News | Posted by: editor A Tanzanian national and businessman based in Dar es Salaam, Azim...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Huyu jamaa mjinga kweli. Evra kampa mkono ili yaishe lakini li suarez limekataa. Shame
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Hebu angalia kwenye links hapa chini na useme mwenyewe! https://p.twimg.com/AlYyfMeCMAACLdA.jpg https://p.twimg.com/AlYzEMbCIAE6vQc.jpg yfrog Fullsize - http://www.yfrog.com/obtuqtsj Shame on him!
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Wakuu wa salaam aleikhum. Nikisubiria mchezo wa Zambia na Ivory coast king'amuzi kimekata KBCpekee. Niangalie chanel gani? I have the star times and free to air receiver. Hapa nimepata presha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahisi leo akuna atakae lalamika jamani kuhusu ushindi wa man u wameshinda kihalali ingawa makosa madogomadogo kwa refa ayakosekani zuri zaidi ni lile wimbi la ushindi wa penati sasaa basi...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Mlioko uwanjani tujuzeni basi!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo,man utd imeshinda kwa haki,atakaye sema imebebwa atakuwa na lake jambo.jamani rio fedinand amechoka apumzike.Ila huyu suarez ubaguzi umo kwenye damu!kwani alipofunga bao ana ibusu ngozi yake...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Yanga wako kwenye mchakato wa kutafuta nyimbo ya timu.. sasa kwa nini wasitumie ile nyyimbo ya pepe kale aliyowaimbia? na je nyimbo za r&b kweli zitawafaa? au kwanini wasiwaambie sikinde ambao...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu kwa kuangalia live tv ligi zote(including payable ones),kucheki TV thousands of HD Channels(movies,series,comedy,news etc) Please go to www.firstrow.tv and prove it for yourself
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Arantxa Sánchez-Vicario accuses parents of taking her £38m fortune • Former women's world No1 says parents made her 'suffer' • Mother attacks 'lies' designed to 'hurt and humiliate...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Thomas Vermaelen is set to make his long-awaited return from injury in Arsenal's reserve match against Manchester United on Thursday Vermaelen has been given the green light to play in the match...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Safari ya kuelekea kwenye Superbowl XLVI (2012) kule Indianapolis, Indiana ndiyo inaanza rasmi Jumamosi ambapo kutakuwa na mechi zifuatazo: 1.Detroit VS New Orleans 2.Atlanta VS New York...
2 Reactions
234 Replies
13K Views
Source: Sky News Live,BBC Live and CNN Live Now. Updates: Capello steps down as England's coach England coach Fabio Capello said he "absolutely" disagreed with the decision to strip John...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…