In news that will make you care about J. League Division 2 football for just over 30 seconds, Fagiano Okayama defender Ryujiro Ueda scored an incredible long-range header against Yokohama FC this...
Klabu ya simba leo imemfuta kibarua kocha wao Moses Basena baada ya kufungwa na Yanga bao 1 - 0 katika mchezo wa ligi kuu.
Aidha pia Emanuel Okwi na Godfrey Kaburu wamesimamishwa na uongozi huo...
NI KWELI SERIKALI YETU INASAIDIA KUKUZA SOKA? Habari zenu wasomaji wangu popote pale mlipo lisomwapo jarida hili mahiri la mpira wa miguu Tanzania,leo nimekuja na mada kuu moja iliyopo mezani je...
Francis Miyeyusho kanifurahisha sana...Full konfidensi....Matumla chaliiiiiiiiiiiiii....Hongera ngumi mawe. Ila kwa point jamani.
Source: Nilikuwepo Diamond Jubilee.
Mijawapo wa viungo walinivutia sana kwa upande wa Yanga S C kwenye Kagame Castle Cup iliyoisha wiki iliyopita mbali ya Nurdin Bakari ni huyu dogo Kijiko,japo alicheza mechi chache lakini...
Ndugu zangu wapenzi wa simba
ni vyema mkasahau yaliopiya kama nduguzetu wa libya walivyomsahau mwenzao gadafi na leo wanahangaika kutengeneza nchi ingawa nassikiliza mtumishimmoja anaitwa td...
Hivi swimming pool ya chuo ambayo kwa kweli ni moja ya swimming pool nzuri mjini, imefungwa kabisa? Kuna kipindi ilikuwa inaoperate, ila hali yake ilikuwa mbaya. Maji machafu na ilikosa kabisa...
Katika mechi ya jana uwanja wa taifa kati ya Yanga na Simba nimeshangazwa na ​waandishi wa habari wote kukaa upande wa VIP A sehemu ya kulia mwa uwanja ambayo hutumiwa na washabiki wa Yanga...
Jumamosi ya 29/10/2011 matokeo yatakuwa YANGA 1-SIMBA 6. Kipigo watakachopata hawa yeboyebo naona itakuwa kama MAN UTD VS MAN CITY. karibuni tuchangie, Nawasilisha.
Katika hali ya kusikitisha na kuhuzunisha imegundulika kuwa Simba na Yanga walipanga matokeo ya game lao la Jumapili....Na hii iliwekwa ili kuweza kuwasaidia viongozi wa Yanga ambao walikalia kuti...
chelsea oh chelsea what happened to your stamford bridge's supremacy?
What wrong with th person u give the captaincy...........?waswahili wanasema"usimcheke mto kabla haujavuka mambo.!" bado man...
Wadau kinachoendelea hapa kwa sasa ni shamrashamra na majigambo ya mashabiki,nimeona mashabiki wa msimbaz wamebeba kitu mfano wa jeneza,kisha lina rangi ya kijan na njano,kisha limeandikwa...
Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama...