Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kilele ya Wiki ya Mwananchi Agosti 4, 2024 kutakuwa na tuzo maalumu iliyoandaliwa na mashabiki wa timu hiyo kwa ajili ya...
kilichotokea ni ubaya ubwela practical achana na zile theory za maandishi na kelele za vispika.
Kulikuwa na mkakati maalum wa kuitrendisha sold out ili kufidia maumivu ya tuzo za leo, faraja ya...
Kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo yake ya pili usiku wa leo ambapo amebeba tuzo wa kiungo bora wa msimu
Aziz ki amewashinda wapizani wake wa karibu Feisal Salumu na Kipre Junior wote...
Timu Nyingi za nje zipi zinazomuhitaji Aziz K Zaidi ya Tetesi
Hakuna timu yotote kubwa iliyomuhitaji Aziz k kutoka nje, tunapozungumzia timu kubwa zinajulikana,
Aziz K ni One season Wonder, watu...
Alhamis hii, Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024
ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga sc na...
Liberatus Mwang'ombe Kijana wa Chadema, Aliyeporwa Ubunge 2020 huko Mbarali, katika ahadi zake kwa Wananchi ilikuwa kuhakikisha anainua Michezo kwenye Jimbo hilo, kwa kuanzisha mashindano mbali...
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP).
Diarra amewashinda Khomein Abubakar kutoka Ihefu (Singida Black Stars)...
Mshambuliaji wa timu ya Yanga SC Mgadafiprince ametoa shukrani kwa uongozi wa timu oamoja na mashabiki wa yanga kwa kumpa sapoti tangu kujiunga kwake na timu hiyo, aidha mshambuliaji huyo...
Napenda kuushukuru uongozi wa Yanga ambao kupitiabmsemaji wetu Ali Kamwe walitutangazia kuwa Tickets za VIP zote ni Sold Out.
Naomba niwakumbushe kwamba, maadam VIP zimeshauzwa zote, ni vyema...
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia...
Hii mechi ya ngao ya jamii tarehe 8 ingetakiwa TFF na bodi ya ligi wamlete refari kutoka nje ambaye ana uzoefu mkubwa ili kuepuka lawama na kasoro za upendeleo wa wazi kama wanavyofanyaa marefa wa...
Yanga wanakikosi kizuri sana kwa sasa lakini kuna jambo ambalo linaweza kuwapata likaacha watu wengi midomo wazi. Mimi binafsi naoma Yanga wakipoteza kwa Simba goli 3 kwa 0 na wanaweza kufungwa...
Salaam wanajukwaa, kwa maoni yangu lakini (naomba niwe tayari kurekebishwa na wanaoitwa wajuaji)
Naona kabisa WASAFI FM/TV ni YANGA na CROWN FM/TV ni SIMBA.
Swali 1; Je, ni permanent marketing...
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa...
Nijuavyo mie, kazi ya Mchezaji Mpira (Professional player) ni kazi ya ajira kama ilivyo kazi nyingine.
Sasa, kwa ushamba wangu na kutokujua kwangu huwa nashangaa mambo haya:
- Mikataba haiwapi...
Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke.
Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi...