Manofu, Pawassa, Mahadh, Lunyamila walipotonesha donda la Watanzania
.Ni katika mechi ya Veterans wa Simba, Yanga U/Taifa
.Wapeleka uhondo Dodoma Machi 27
NA MICHAEL MAURUS
MASHABIKI wa...
Ni ktk mechi ya pili ya ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A.
Milan tuko mbele ya Inter kwa tofauti ya pointi mbili.
Mechi ya kwanza iliyokuwa chini ya Inter, tuliweza kuwafunga kwa Goli 1-0...
KOCHA wa Simba Patrick Phiri amesema kikosi chake kitatumia mfumo wa kushambulia kwa kasi lakini kwa tahadhari mno ili kuepuka wapinzani wao TP Mazembe wasipate bao katika pambano lao la...
Ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu hapo kesho dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya kati,wachezaji wamewekwa kambini hapo Atriums Hotel Sinza lakini cha kushangaza jana jioni kwa geti la nyuma wachezaji hao...
Wakuu mnaofuatilia kabumbu. Kuna wakati hapa Jamvini watu walimponda sana MAXIMO kuwa ndio kikwazo kwa maendeleo ya soka, nakumbuka hata mwanasoka mmoja aliingia jamvini na kumponda Maximo...
habari za saa hizi jamani,naombeni mnisaidie kuna mtu nabishana nae hapa,kati ya mwaka 2001 au 2002,simba ilicheza na timu moja kutoka misri,harafu mvua ikanyesha wakati simba inaongoza goli...
Maelfu ya raia wa Mali walijitokeza kuishangilia timu ya Libya katika kufuzu kwa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwenye mji mkuu wa Mali.
Mashindano hayo yalifanyika Bamako kutokana na...
Ni kwa muda mrefu sasa ubingwa wa ligi yetu umekua ukipokezana timu za simba na Yanga tu, na kwa jinsi mwaka huu muelekeo wa ligi unavyoendelea, ni wazi ubingwa utaelekea msimbazi au wakiteleza...
29 March 2011
THE African Cup of Nations (AFCON) qualifiers match between Taifa Stars and Central Africa Republic (CAR) played last Saturday at the National Stadium in Dar es Salaam raised...
Leo timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu wanaume chini ya miaka 23 imecheza na wenzao wa Kameruni. Matokeo yapoje maana sina apudate yoyote mpaka mda huu.
Naomba msaada kwenye tuta!!
Baada ya Algeria kuilaza Morocco 1-0, sasa kundi D limekuwa ni kundi la kifo, kwani timu zote sasa zina point nne baada ya kucheza mechi tatu kila moja. Msimamo wa kundi d la CAN 2012 qualifiers...
Yaani Mungu anatupenda sana sisi wanatnzania kwa sababu kitendo cha algeria kuipiga moroco kumelifanya kundi letu liwe gumu na wote tubakie kuwa na point 4
sasa inabidi tusigfanye any mistake ili...
Haya waungwana, Taifa Stars leo inasaka pointi 3 muhimu mikononi mwa C.A.R ambao kwa sasa ndio viongozi wa kundi D, linalojumuisha timu zingine za Algeria, na Morrocco. Tunaomba wadau wanaojua...
SIKU chache baada ya kocha wa Simba, Patrick Phiri kuondoka klabuni hapo akiwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya mchezo dhidi ya TP Mazembe kwa madai ya kuuguliwa kwao, Zambia...
Inasikitisha kuona shirika la habari la Taifa (TBC) linashindwa kuonesha mechi muhimu ya Timu yetu ya Taifa. Na kutegemea shirika binafsi kuonesha.Duniani kote Shirika la umma ndilo linapaswa kuwa...