Tanzaniasports have undertaken a review of the issues currently facing football in Tanzania:
Colonial legacy Tanzania is a British colony and this is one of the reasons why its football never...
nimeandika hii thread baada kuangalia mechi ya jana usiku katiya Barcelona na Hercules... kuna mchezaji anaitwa javier Mascherano huyu ni nahodha wa timu ya taifa ya Argentina aliyehamia barcelona...
BREKING NYUUUUZZZZZ: MCHEZAJI WA TWIGA STARS APATA TIMU UTURUKI
Asha with President of Turkey's Atasehir Belediyespor
Women's Football Club, Sadik Kayhan
Asha in her room at the team's...
Jana baada ya mechi ya simba na azam nilishuhudia baadhi ya wapenzi wa simba wakimtupia maneno ya kashifa goli kipa namba moja juma k. Juma kwamba amecheza chini ya kiwango ama ameuza mechi...
Sky Sports presenter Andy Gray has been sacked after he made sexist remarks about a female match official - and new evidence of "unacceptable behaviour" emerged.
Gray was initially disciplined...
Krav Maga
A practical and tactical system which teaches how to prevent, deal and overcome all kinds of violence and attacks. km prepares the trainees in the subjects of self-defense, self...
Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Arusha Football Club( AFC) inayoshiriki ligi ya Vodacom premium league unaeleza kuwa kuna wajanja wachache wanaonufaika sana na timu ambao kwa muonekano...
Kwa mujibu wa Michuzi blog
BREKING NYUUUUZZZZZ: MCHEZAJI WA TWIGA STARS APATA TIMU UTURUKI
Asha with President of Turkey's Atasehir Belediyespor
Women's Football Club, Sadik Kayhan...
Ndugu zangu wapenda soka hasa wale wanachama wa Simba na Yanga inatubidi tuwe makini sana katika maamuzi tunayoyafikia pale ambapo tunagusa maendeleo ya vilabu vyetu. mimi kwanza natoa sifa kubwa...
WanaJF cpend kuwa muongo mana leo mech zitakazocheza leo iwapo ARSENAL akashnda na MAN-U,-CITY wakatoa draw bac mkaemkijua kuwa ndo bac tena arsenal bingwa wa ligi na hvyo ndivyo ilivyo kama vp...
Inasikitisha kuona timu ya AFC ni kichwa cha mwendawazimu katika ligi kuu ya bara.kibaya ni ukata uliokumba timu hii kiasi cha kushindwa kuweka kambi.
Ma tycoon wa arusha mmeishiwa nini?
Baadhi ya wachezaji wa DRC wamesema Tanzania "Taifa Stars" ilistahili kucheza nusu fainali, lakini wachezaji wake wamejaa utoto mwingi na hawajali kazi yao katika michuano ya bonde la mto nile...
Simba ni bora kuliko yanga if you watch how simba play, 1-1 na wabrazili yanga walichapwa tatu. kinachokosekana nchini kwenu ni timu kuwa na viongozi wenye tija na kuleta maendeleo yale yale ya dowans
Nuggets fans' boos may seal Anthony exit: Bryant
Last Updated: Friday, January 21, 2011 | 12:25 AM ET
The Associated Press
Carmelo Anthony's trade to the New Jersey Nets was nixed by...