ITV hivi sasa wameimprovu katika taarifa zao za habari, na hasa habari za michezo, sio kama zamani ambapo habari zilizotawala zilikuwa za michezo ya mchangani!
Wow..leo siku yangu imeenda vizuri sana na kazi nachapa ile mbaya hapa ofisini baada ya kupata taarifa ya kua Roy hogdson amefukuzwa kazi.
Kenny Daglish amepewa nafasi ya kuiongoza liverpool...
KIPIGO cha mabao 5-1 ilichokipata timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars juzi kutoka kwa Misri Pharaos kimetokana na sababu tano za msingi, huku kikiwa kimemchanganya Kocha Mkuu, Mdenish Jan...
M/kiti wa Simba SC Ismail Rage ametuibia siri kuwa timu ya APR ya Rwanda ndo kiboko ya timu ya TP mazembe, japo hajatuambia wamekutana na kufungana au kudraw mara ngapi.Mazembe ndo mabingwa wa...
AKHLAN wasaalan msomaji wangu wa Jamvi la Kulonga, nianze kwa kukutakia heri ya mwaka 2011, kwa kuweza kuingia kwa kishindo lakini zote zikiwa ni neema zake Muumba wa mbingu na ardhi.
Hili ni...
SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania, TFF limeunda kamati ya watu watano kuchunguza tukio la kushindwa kupiga wimbo wa taifa kwenye mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Oktoba 9 mwaka jana...
Pressure builds on struggling Premier League managers - ESPN Soccernet
Avram Grant, Calro Ancelotti, Roy Hodgson & Gerard Houllier....nani kibarua chake kitapona hapa?
Los Angeles Lakers Kobe Bryant (left) drives past Memphis Grizzlies Tony Allen during their NBA game in Los Angeles, California, Jan 2, 2011. [Photo/Agencies]
LOS ANGELES - Rudy Gay and the...
Timu yetu ya Taifa inaanza kampeni za kutwaa kombe la bonde la mto Nile kwa kutupa karata yake ya kwanza kesho kwa kupambana na timu ya taifa ya Misri. Stars ambayo kwa mara ya mwisho ilifungwa...
bado nashindwa kuelewa nani alimshauri mheshimiwa JK kuwa wasanii wanahitaji studio. ona sasa hata wasanii wenyewe studio hawaitumii au hata wengine wengi hawana taarifa nayo. mimi nadhani...